uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,459
- 904
Wakikuwekea bastola kichwani huli!!!! Ila naamini ungekuwa Sudan kusini ungekula huku ukiwa umeshikilia bastola mkinoni kuzuia watu wasikudoee
SUPU YA MAWE unamatatzo sana aka mzee wa utafiti
hakuna nyama ninayoipenda kama utumbo wa taulo.....haukinaishi
Mbona alieandika sio supu ya mawe
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa
Mbona alieandika sio supu ya mawe
Pooouwah kabisa n shwari to you saying mamboo 2mi..!
Tafsiri yake ni nini? masai dada
aiseee karbu
Mhhhh! Asubuhi.....
morning glory ya ofcn lol
maana nishatoka nyumbani
We hataree sanah rafiki....!
Kitimito je?!