siwezi kuchat facebook....

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,700
jamani tatizo ni nini,nina kama miezi miwili hivi siwezi kuchat facebook.....mtu akinitumia message kwenye chatroom naziona ila nikimjibu haziendi....
natumia internet explorer na google chrome sometimes,kote hakufanyi kazi....nifanyeje?thanks.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom