Siwezi kuangalia YouTube videos kwenye college wireless.

Siwezi kuangalia YouTube videos kwenye college wireless.

chief-mkwawa i salute 2 u my brother, mzgo umekubali safi kabisa, kaka we ni mkali mana hii cm nimeangaika nayo kwa miaka miwili, lakini leo nimeiweza kwa maelezo yako tena nkiwa ndan geto, vp sasa kuna software ambayo itaniwezesha kuzidownload hzo video?
KWA MARA NYINGNE AHSANTE NA HESHMA NA SALUTE KWAKO BRO

Yap ipo inaitwa youtube downloader

Ichukue nimeku uploadia hapa

http://www.datafilehost.com/download-e0e01e66.html
 

ApZyzCcQ9QPaAAAAAElFTkSuQmCC


naakili zako hamjaachana sana
 
sjui upo chuo gan lakini chuo chetu hata youtube unaongeza s tuu same way as fb

Njia nyengine tumia proxy copy na kupaste hii ip kwenye adress bar 37.157.196.129 click go then utaona infunguka page click proxy tool then utaona sehemu ya kueka adress hapo andika youtube.com then utaangalia youtube.

Adress bar ni hii
search_465b_en.gif


Njia nyengine tumia vpn mfano search google security kiss then download client yao connect then enjoy
Mkuu unaweza kunielezea jinsi ya kufungua internet on a Sidekick SX, 2008 (aina ya simu)? Au jinsi ya kuiflash?

$(KGrHqZHJBwE9rfwHlwCBPin4P73F!~~_35.JPG
 
Mkuu unaweza kunielezea jinsi ya kufungua internet on a Sidekick SX, 2008 (aina ya simu)? Au jinsi ya kuiflash?

$(KGrHqZHJBwE9rfwHlwCBPin4P73F!~~_35.JPG

Mkuu hujui operating system yake? Maana nimejaribu kuigoole siipati au cheki tena jina
 
Mkuu hujui operating system yake? Maana nimejaribu kuigoole siipati au cheki tena jina
Danger hip top, ila newer version yake in built in Opera mini.
Danger hiptop ilikuwa discontinued in 2011.
 
Back
Top Bottom