Siwezi endeleza uzao!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa sawa!! Ila Gran pah nakuona ukiwa suprised if watoto wako watakua hawakujari ukiwa mzee as if utafika umri mrefu, uko na matarajio tayari. Duuuh.
Nitasikitika nikosa upendo wao katika Uzee wangu

Maana Mimi na Mama yao, tumejinyima vingi kwaajili yao

Imagine Kuna kombe la Dunia mwaka 2030 hapo Morocco, kweli ni kukosa wakati nauli pamoja na viingilio havizidi milioni 10 hata kwa mechi 3 tu jamani πŸ™Œ

Uzuri wake, ninao nyie wajukuu, najua hamtanitupa Babu yenu 🀭
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na utakuta wanagawana na kuuza vyote, utahaha wewe. Km chiwawa Lol
 
Mimi sioi, sitongozi uzao wa kwetu unaishia kwangu hata kama hamna mtoto mwingine nyumbani sijali hata. sitaki nilete watoto dunia waje wateseke.mm sitak kuumizwa bora njipende mwenyewe.
Sasa utapata vipi watoto kwa kufirwa?
 
πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Huyo member alikua mwanaume, akaanza na mada zake kama hivi hivi, taratibu taratibu mara kabadilisha jinsia kawa mwanamke, mara kaolewa na mzungu...
Unashindwa kuelewa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…