Siwezi endeleza uzao!

Siwezi endeleza uzao!

😂😂😂😂 sawa sawa!! Ila Gran pah nakuona ukiwa suprised if watoto wako watakua hawakujari ukiwa mzee as if utafika umri mrefu, uko na matarajio tayari. Duuuh.
Nitasikitika nikosa upendo wao katika Uzee wangu

Maana Mimi na Mama yao, tumejinyima vingi kwaajili yao

Imagine Kuna kombe la Dunia mwaka 2030 hapo Morocco, kweli ni kukosa wakati nauli pamoja na viingilio havizidi milioni 10 hata kwa mechi 3 tu jamani 🙌

Uzuri wake, ninao nyie wajukuu, najua hamtanitupa Babu yenu 🤭
 
😂😂😂😂 na utakuta wanagawana na kuuza vyote, utahaha wewe. Km chiwawa Lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom