Siwezi endeleza uzao!

Siwezi endeleza uzao!

Babu alizaa mtoto mmoja ambaye ni baba naye baba akanizaa mm mwenyewe na mm sizai nataka uzao uishie kwangu
 
Naona unaugana na cocastic kutopenda watoto

Umeandaa watu wa kukuhudumia katika Uzee wako?

Bibi yetu aliishi hadi miaka 96, miaka 11 yote kabla ya kifo chake, alikuwa mtegemezi kuanzia kula, kupelekwa haja n.k

Kila la heri Mkuu, Kila mtu na maisha aliyoyachagua
 
Naona unaugana na cocasticBibi yetu aliishi hadi miaka 96, miaka 11 yote kabla ya kifo chake, alikuwa mtegemezi kuanzia kula, kupelekwa haja n.k
Ndio maana usipozaa inabidi ufe mapema. It is much better that way!

Living a long life is not a blessing, it is a burden.

Make a quick exit.

Afterall you will die anyway, whether you live long or not.
 
Ni sahihi, lakini hakuna Kijiji kisicho na Wazee

Kuwa sehemu ya hao Wazee Mungu akikupa maisha marefu
 
Naona unaugana na cocastic kutopenda watoto

Umeandaa watu wa kukuhudumia katika Uzee wako?

Bibi yetu aliishi hadi miaka 96, miaka 11 yote kabla ya kifo chake, alikuwa mtegemezi kuanzia kula, kupelekwa haja n.k

Kila la heri Mkuu, Kila mtu na maisha aliyoyachagua
Sijawahi kusema napenda au sipendi watoto, nachosema ni mtu kuleta watoto duniani kwa kisingizio cha kuendeleza ukoo, au jamii imuone sio mgumba. Huku akiwa hana uwezo wa kulea na kutunza hao watoto.

Muhimu umesema kila mtu na maisha aliyochagua, umemaliza vyema kabisa.
 
Tuzae watoto tutakaoweza kuwatunza.

Najua uwezo wa kuwatunza Unao, maana ukichanganya kipato chako na mwenzi wako, hamuwezi kushindwa kuwatunza watoto 2 ama 3 mtakaojaaliwa

Babu zenu tunapenda Wajukuu wa kucheza nao mjue

Kabisa, Kila mtu na maisha yake
 
😂😂😂😂 sawa sawa!! Ila Gran pah nakuona ukiwa suprised if watoto wako watakua hawakujari ukiwa mzee as if utafika umri mrefu, uko na matarajio tayari. Duuuh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom