mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,980
- 3,868
Kuna shida mtu akikata mauno kwenye vigodoro?Mental Illness is real! We si ndo ulisema unakata mauno kwenye vigodoro!
Ndio maana usipozaa inabidi ufe mapema. It is much better that way!Naona unaugana na cocasticBibi yetu aliishi hadi miaka 96, miaka 11 yote kabla ya kifo chake, alikuwa mtegemezi kuanzia kula, kupelekwa haja n.k
Ni sahihi, lakini hakuna Kijiji kisicho na WazeeNdio maana usipozaa inabidi ufe mapema. It is much better that way!
Living a long life is not a blessing, it is a burden.
Make a quick exit.
Afterall you will die anyway, whether you live long or not.
Upo sahihiMimi sioi, sitongozi uzao wa kwetu unaishia kwangu hata kama hamna mtoto mwingine nyumbani sijali hata. sitaki nilete watoto dunia waje wateseke.mm sitak kuumizwa bora njipende mwenyewe.
Kwenye kutozaa naunga mkonoHongera sana Kijana.
Uchaguzi shupavu sana na wa kipekee.
Wengine wanazaa zaa hovyo tu halafu wanakuja kutuomba hela za nepi!
Kuzaa uzae weye, nepi uniombe mie!! We kuweza?
Huwa nawapiga makofi hasa.
Cc: ShesRise_1 secretarybird loose Nut Seran ephen_ Harmful Dr. Mariposa Lamomy Foffana Tlaatlaah
Sijawahi kusema napenda au sipendi watoto, nachosema ni mtu kuleta watoto duniani kwa kisingizio cha kuendeleza ukoo, au jamii imuone sio mgumba. Huku akiwa hana uwezo wa kulea na kutunza hao watoto.Naona unaugana na cocastic kutopenda watoto
Umeandaa watu wa kukuhudumia katika Uzee wako?
Bibi yetu aliishi hadi miaka 96, miaka 11 yote kabla ya kifo chake, alikuwa mtegemezi kuanzia kula, kupelekwa haja n.k
Kila la heri Mkuu, Kila mtu na maisha aliyoyachagua
Tuzae watoto tutakaoweza kuwatunza.Sijawahi kusema napenda au sipendi watoto, nachosema ni mtu kuleta watoto duniani kwa kisingizio cha kuendeleza ukoo, au jamii imuone sio mgumba. Huku akiwa hana uwezo wa kulea na kutunza hao watoto.
Kabisa, Kila mtu na maisha yakeMuhimu umesema kila mtu na maisha aliyochagua, umemaliza vyema kabisa.
ππππ sawa sawa!! Ila Gran pah nakuona ukiwa suprised if watoto wako watakua hawakujari ukiwa mzee as if utafika umri mrefu, uko na matarajio tayari. Duuuh.Tuzae watoto tutakaoweza kuwatunza.
Najua uwezo wa kuwatunza Unao, maana ukichanganya kipato chako na mwenzi wako, hamuwezi kushindwa kuwatunza watoto 2 ama 3 mtakaojaaliwa
Babu zenu tunapenda Wajukuu wa kucheza nao mjue
Kabisa, Kila mtu na maisha yake