Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!


Binamu nimekugongea senks kule, kaangalie. That means kazi ya kutandika kitanda ni ya mwanamke! FULL STOP!
 
Huyo uliyenaye vipi? By the way kipi bora kwa mwanaume: Anayekupa majambo kisawasawa au anayefanya usafi kama mwanamke lakini kwenye majamboz hamna kitu?

Bora ni yule ambaye tunapeana majambozi kisawa sawa na kusaidiana katika mambo mengine kisawa sawa.
 

hahahahahah ni kweli Pretty nampenda wa kwangu tuko 50/50 sometimes atakwambia wife na wewe uwe unapumzika hujakuwa punda ngoja nikamate usukani atatandika ,ataniandalia chai ,ataosha vyombo ila mie ndo najisikia aibu inabidi nisaidie atanifanyia vyovyote anavyojisikia
mabinamu Msiseme Limbwata hapa
 
Bora ni yule ambaye tunapeana majambozi kisawa sawa na kusaidiana katika mambo mengine kisawa sawa.

Usikwepe swali mama! Chagua kimoja. Anayekupa majamboz kisawasawa lakini usafi hana taimu nao na mwingine anayekusaidia usafi na kupika lakini kitandani jogoo la kibisa. Chagua mmoja twende sawa mama!
 

Ndio maana nikasema kuna wanaume wanajua kucare kila sehemu kuanzia kitandani hadi kwenye kazi za ndani.

Mwanaume kama huyu anayekusaidia kazi za ndani na anajua mwenzangu muda mwingine naye anachoka ni mzuri sana, na kila siku mwanamke utamuona wa maana sana na utajihisi kweli unapendwa.
 

Hongera FL1 una bahati kama nini!
 

please kaa mbali na ZD wangu. Utaniharibia!
 
Usikwepe swali mama! Chagua kimoja. Anayekupa majamboz kisawasawa lakini usafi hana taimu nao na mwingine anayekusaidia usafi na kupika lakini kitandani jogoo la kibisa. Chagua mmoja twende sawa mama!

Nadhani huyu wa pretty anayaweza yote,anajua ku-care na majambozi hayo ndo usiseme.Kila fani amebobea.
 
raha ya ndoa MAJAMBOZI BANA!kutandika kitanda????......HELL TO THE NO!
 

thanks Pretty mie huwa namshangaa sometimes hahah
 
Pretty! sori ofu topik,Hivi hii avatar yako huyo ni mwanao,au wewe ulipokuwa mdogo?

Lol..............mimi hapo nilipokuwa mdogo, nilikuwa toto tundu. Ila sasa nimekuwa mdada mpoleeeeee!!! Sorry off topic.
 
Kama ulikuwepo vile shost, my hubby kabobea kote kote.

Hahaha! Kila utakayemuuliza hapa atasema hubby wake anamfanyia hivyo. Hata wife wangu huwa namsikiaga akijifagilia kwa wenzie jinsi navomsaidiaga! Kalaghabaho! All men same same. Nimesoma boarding school tangu O-level mpaka chuo, sikuona tofauti yetu. So, women, keep on cheating yourselves.
 

si kweli Xpin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…