Siwaelewi wanaume wa karne hii

Unawaelewa wanaume wa Karne ipi ?
 
Demu anamilikiwa kwa kupewa hela?

Demu anakazwa na muhuni na huo ndio utaratibu hayo maswala ya kupewa hela ni subjective! Kama unaona hela ndio mapenzi tafta zako na ujitie vidole chumbani usikae ukamsogelea mwanaume!
Km nyie mnavyotumia sabuni, sio?.
 
Kwanini usitolee mfano buku kenge wewe [emoji23] kimtokacho mtu ndicho kimjazacho nafsi! Pole sana kwa kuikosa 300K ila nakusihi pambana kuitafuta usitegemee mwanaume akupe hela wakati yeye mwenyewe hana!
Saka pesa pimbi wewe. Na sio kutaka pisi Kali alafu huna uwezo wa kuihudumia [emoji13][emoji13]
 
Saka pesa pimbi wewe. Na sio kutaka pisi Kali alafu huna uwezo wa kuihudumia [emoji13][emoji13]
Hakuna cha pisi kali wala pisi pole, iko wazi demu anayehitaji kutoa penzi kwa return ya huduma anajiuza. Na sisi hatuna shida hasa mimi na hao wanaofanya biashara kwani ndiyo njia walizochagua kuingiza mkono kinywani.
 
[emoji1787][emoji1787] acha kulalamika sn bhn. Ww hudumia tu.
 
Hakuna cha pisi kali wala pisi pole, iko wazi demu anayehitaji kutoa penzi kwa return ya huduma anajiuza. Na sisi hatuna shida hasa mimi na hao wanaofanya biashara kwani ndiyo njia walizochagua kuingiza mkono kinywani.
[emoji2][emoji2] utakataa tu lkn ukikaa na kutafakari kbs. Ukipenda utatoa tu, tena ww mwenyewe bila kuombwa. Iyo ndo Hali halisi ya maisha.
 
Kabisa ili tukusanye mapene ili tuwaowe
Ss kidogo kidogo. Si ndo vile vile tu huduma imetolewa mkuu?. Ata ukimnunulia vocha Kila wiki, hiyo ni huduma teyari umeshaitoa. Mnakataa nini ss
 
[emoji2][emoji2] utakataa tu lkn ukikaa na kutafakari kbs. Ukipenda utatoa tu, tena ww mwenyewe bila kuombwa. Iyo ndo Hali halisi ya maisha.
Hapo unapiga na kusepa mazingira si rafiki kabisa. Sinaga rekodi ya kununua penzi kwa mtu niliyemtamkia nampenda akaridhia tukaanzisha uhusiano. Lakini kama nikununua aaah nanunua bila shida.
 
[emoji1787][emoji1787] na wajinga kweli hao
 
Wewe ni MWIZI! Huna hata aibu unalalamikia kupewa fedha juu ya mapenzi!!? Yaani kweli unautweza utu wako, maumbile yako kwa money exchange!!?
[emoji2][emoji2] sijalinganisha mapenzi na pesa. Nimesemea kujali na kujua majukumu yako km mwanaume. Ata ukimpa vch ya jero ni huduma tosha. Sio mpk laki 3 niliyotolea mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…