Siwaelewi wanaume wa karne hii

Hahahahahah ukiona umetafutwa jua unahitajika kwa kazi maalumu![emoji23] Mission ikiisha itabaki story tu!
Pesa pesa pesaaa. Hii haikwepeki kijana, tafuta pesa kisha tupatie pesa tuna matumizi nazo.
 
Hahahhahah najua unataka kumaanisha kwa wale mandezi wanaolialia daily 😂😂😂 kwamba wameishiwa mbinu!

Mi nakwambiaje me mbususu nitakula as much as i want to and feel like! Cause im a man!
 
Hahahhahah najua unataka kumaanisha kwa wale mandezi wanaolialia daily [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba wameishiwa mbinu!

Mi nakwambiaje me mbususu nitakula as much as i want to and feel like! Cause im a man!
Mambo huanza hivyo hivyo, halafu baadae sasa[emoji1787][emoji1787]

Hamna shida walaa hatuwakatazi kula nyie kuleni tu. Ila sasa pesa zetu tunazitaka hilo ndilo la msingi.
 
Reactions: Lee
Aah wapi, mnatupatia vizuri tu, na mtaendelea kutupatia. Na hilo sio ombi mkwe[emoji1787][emoji1787]
Hahahahahahaah ex mkweee.... pesa hampatiiii
Kwani jaman kutupenda ni kazi kwenu mnahitaji salaries?
 
Nasikitika tu kusema pesa zangu zimeshikana na roho [emoji23] yani naweza nikafa nikizitumia hovyo
Na matumizi yenyewe ndio kama hivyo.
Toa hela we mpare hutozikwa nazo, kenge maji mmoja wewe[emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: Lee
Sio kweli ...unadate na mtu akipita sokoni anakwambia nanunua nyama utanirudishia nikifika home ...nyie viumbe
Sasa kwanini usimrudishie hela yake jamani? Huo utakuwa utapeli!!
 
Mnawalea wenyewe na hiyo 50/50 na usawa wa kijinsia mnayo ifundisha mashuleni,inawalemaza watoto wa kiume wa siku hizi.

Kadili mnavyo endelea kuipush 50/50 na ndivyo wanaume wanapungua na wavulana wana ongezeka.
 
Sio kweli ...unadate na mtu akipita sokoni anakwambia nanunua nyama utanirudishia nikifika home ...nyie viumbe
Hahahahha yani wanawake wa kibongo wana tabia za pekee sana
 
Reactions: Lee
Hahahahahahaah ex mkweee.... pesa hampatiiii
Kwani jaman kutupenda ni kazi kwenu mnahitaji salaries?
Hakunaga ex mkwe wewe, once mkwe basi ni mkwe tu.

Tunawapenda sanaa pamoja na pesa zenu. Kama Extrovert amesema pesa zake zimeshikana na roho, sasa utampendaje bila kupenda na pesa zake? Huoni hayo ndio mapenzi ya dhati!
 
Mnawalea wenyewe na hiyo 50/50 na usawa wa kijinsia mnayo ifundisha mashuleni,inawalemaza watoto wa kiume wa siku hizi.

Kadili mnavyo endelea kuipush 50/50 na ndivyo wanaume wanapungua na wavulana wana ongezeka.
50/50 na women empowerment imetengeneza wanaume wengi ambao ni jobless na weak to the point imeanza dharau sasa!😂
Wanawake ndio wanamiliki fursa nyingi za hela ila wao wanataka walelewe na ma jobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…