watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,645
Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita.
Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA
Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47 tutawaacha kwa point 1