Siwaelewi Wahudumu wa Baa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siwaelewi Wahudumu wa Baa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hmaster, Mar 30, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukienda baa peke yako kama wewe ni mwanaume utapewa huduma kwa unyenyekevu sana na wahudumu hawa wa kike hadi utajiona kweli wewe ni mfalme kama ule usemi usemavyo "mteja ni mfalme". Kabla hujatulia kwenye kiti, utaona mdada keshafika zamani huku akitabasamu na kukusalimia kabla ya kukuuliza unahitaji huduma gani. Utakapompa order haraka atakuletea kinywaji na kabla hajafungua ataanza kwa kufuta meza kisha atakufungulia kinywaji. Baada ya hapo atasuuza glass kwa kutumia kinywaji hichohicho na kisha atakumiminia kinywaji chako katika glass na mwisho atakukaribisha. Hatakupa change yako kwanza ila ataacha kapu tray lake hapo kwako na kwa maana hiyo hapo ndiyo patakuwa centre yake kuu, ingawa hamuongei. Mtu mwingine akija atamuhudumia kisha anarudi hapohapo kwako.
  Cha kushangaza ni pale utakapokwenda baa na mdada! Muhudumu utamwita wewe, akija hana salamu wala nini. Atakuuliza aina ya vinywaji mtakavyo na akileta anakuja na change yote hafuti meza, akishafungua tu anaishia na hutamwona tena hadi umwite ili awaongeze vinywaji. Hata lugha yao huwa ni ya mkato sana wakiona una demu. Ukimweleza glass ina ufa nibadilishie, atakwambia zimeisha au zote zipo hivyo. Siwaelewi ni kwanini wanakuwa hivyo. Nawasilisha!:angry:
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaa mkuu ukiwa alone si anatangaza biashara!!!!
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu
  Acha kwenda Bar
  Nunua kilaji chako nywea homu na waifu au demu wako (kama ulivyosema)
  Bar unaweza kubambikiziwa hata yasiyokuhusu
   
 4. innovg

  innovg Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jali maisha yako
  ni opportunists wanataka kuingiza siku ndiyo maana wapo hivyo,
  mtu anapokua mwenyewe(single) ni simple sn ila ni hatari sana kama wewe unavyoona tofauti ya huduma wanazotoa ukiwa mwenyewe na ukiwa na mtu mwingine
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Loh!DEMU tena???Haya bwana!Mwenye mada unataka wakuchekee wakati unaonyesha kwamba hupatikani?Wa wapi wewe?
   
 6. Sabode

  Sabode Senior Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Du mkuu wakati mwngne home huwa kama kilaji siyo kitamu hv, ila mie wkt mwng huwa nagongo mvinyo yangu home.
   
 7. CPU

  CPU JF Gold Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Si ndio mtoa mada alivyosema, msome vizuri
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Hmaster unakunywa bia gani,
  Chui chui au Castle?,
  hebu mwambie huyo muhudumu akuongeze tena mbili za barrriiiiiddddddi!!!!!!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo we unafuata mkumbo?Even more disappointed!
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  CPU akiacha kwenda bar halafu ndo iweje?? hiyo bluu
  Mvinyo wa home si mtamu kabisa hiyo red
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu
  Ukinywea home unaepuka mambo mengi, ushawishi wa kuzini, vurugu za hapa na pale, matusi na dharau (kama alivyodai mtoa mada) na hata usalama wako ikitokea umelala au umezidiwa na kilaji.

  Faida za kunywea kilaji Bar hata sizijui, hasa kama umeenda peke yako.
  Ni kubadili mazoea tu mkuu, home utapaona patamu balaa, tena ukiwa unanyweshwa na waif . . . yaani unagalagala weeeee, hata sebuleni, coridoni au stoo unalala fresh bila kuhofia usalama wako
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Dah! Kweli.
  Kuna kirestaurant kimoja huku nilipo yaani wadada hatusikilizwi kabisa. Ngoja waje vidume sasa.
  Khaa!
  Wanakera hawa watu.
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mi naenda sambamba na lugha yake, sio kwamba na mimi ni lugha yangu.
  Ushaniona mimi ktk sredi zangu au comment zangu natumia neno DEMU???

  Mmmmmmmmmh . . . . alaaaaaaaa kumbe
  Najua mamito unawaza ipo siku nitakuita DEMU :lol::lol::lol::lol::lol::lol:
  Ondoa shaka swt
   
 14. CPU

  CPU JF Gold Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Utamu wa kunywea bar ndo upi??
  Au wa kutamani wahudumu wa bar baada ya kulewa???
  Kuchunwa na kusachiwa na machangu akizimisha gari bar????
   
 15. CPU

  CPU JF Gold Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Anzisha chako, akikukera mhudumu unatimua :lol::lol:
   
 16. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Majawabu unayo.
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Utachunwaje wakati uko na wife au demu wako???
  Na hizo pombe (unywaji) mpaka unazima sio unywaji pombe huo ni ulevi
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unatakiwa uonyeshe mfano ili asirudie tena bwana!Ila afadhali umesema hutoniita hivyo maana..........!
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Vya hom havinogagi,
  Raha ya bia uletewe na weita.
  Na inanoga zaidi anapoimimina iliyobaki kwenye glasi na kukuuliza: "samahani kaka nikuongeze nyingine?"
  Na wewe unajibu "bia za hapa kwenu tamu sana, mnaunga nini hivi?, lete ingine nawe chukua kinywaji chako"
  ctd
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wakienda nao huduma haiwi nzuri kwahiyo wanawaacha nyumbani!
   
Loading...