Lema umechemka tena mbona ulikaa kimya mkapa alipowaita sumaye na Lowasa wapumbavu. Kwangu mimi upumbavu ni tusi kubwa kuliko bwege. Sheria lazima zifuatwe na watanzania wote akiwemo rais na mawaziri
Katafute uzi ule utaona na mpaka viongozi wa chadema walitajwa kumchangia na kumkabidhi! Kamuangalie aliye mkabidhiWalipokuwa wanawasilisha michango walikuwa wanakabidhi na kadi zao za chama mpaka useme ni amechangiwa na wanachama?
Unawezaje kujilinganisha na rais wakati hata ujumbe wa mtaa huna,lazima utambue heshima anayopewa rais ni taasisi si kama mtu binafsi
Teh Teh Teh kumekucha!We sema hayo usidhani jamaa ndio atakuwa muungwaana kwa wapinzani.
Zitto alisifiwa lakini angalia kinachompata leo.
Hakika Lema ni mzalendo..Hakika leo nimekuona ni mwanasiasa mahiri na uliyeiva haswa
Kama hii ni hoja yako vasi kulikuwa hakuna umuhimu wa Rais kuwa na ulinzi kama anaopata kwa gharama ya walipa kodi.
Tatizo unaongelea nadharia. Mimi ninaongelea uhalisia.
Rais wa nchi ni tofauti na mwananchi mwingine nchini.
Heshima kwa Rais lazima ilindwe lakini vilevile ni lazima na Rais ajiheshimu.
Mmmmmmm. Kuna harufu nimenusa hapa. Waliochangisha fedha ni Ephatha Nanyaro na Malisa Godlisten. Kuna jambo nyuma ya paziaHuwezi jua.Labda dogo katangaza nia kugombea Arusha
Ni Kweli, Lakini Busara Ya Kumkanya Na Kumsaidia Ni Bora Zaidi Kuliko Kumwacha Akaozee Jela Wakati Inawezekana Kumrekebisha Mtaani.
Je, Huyo Hakuwa Mmoja Kati Ya Vijana Walioitwa Wapumbavu Kisa Wanataka Mabadiliko?
Ulichosema ni kweli kabisa lakini usipofunzwa adabu na wazazi wako hakuna atakayekufunza hapa duniani. Huyo Rais aliyesemwa ni Bwege ni sawa sawa na baba yake kiumri. Hivyo huyo kijana hana adabu huo ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli" Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu .
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara " Godbless Lema (Mp)
Tumuite msaliti Lema na ikiwezekana tuandamane basi kama unaona kakosea,mambo mengine hayahitaji akili nyingi kuona hili sawa au laKwani rais yeye ni breed tofauti na sisi watu wengine?
Hanyi huyo rais wenu? Hapumui? Hali chakula? Hanuki mdomo asubuhi akiamka? Haogi?
University student jailed for insulting President Uhuru KenyattaSiyo rais wa Marekani tu.
Hata wa Kenya tu hapo.
Achilia mbali akina David Cameron, Jacob Zuma, Francois Hollande na wengineo huko kwenye demokrasia kutushinda sisi.
Kama tunaamnini binadamu wote ni sawa, basi wote tuna haki ya kuheshimiwa na Hakuna binadamu anayepaswa kutukanwa." Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu .
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara " Godbless Lema (Mp)
Umesahau wapinzani walipotoka Bungeni na kuitwa watoto Zitto alibaki na kusifiwa ila jiulize ni nini leo hii kinampata.Teh Teh Teh kumekucha!
Kwa hiyo unataka kusema Godbless J Lema ni msaliti na atafukuzwa kama Zitto?
Cc @lizabon Ritz
Siyo rais wa Marekani tu.
Hata wa Kenya tu hapo.
Achilia mbali akina David Cameron, Jacob Zuma, Francois Hollande na wengineo huko kwenye demokrasia kutushinda sisi.
Hao wote wanampango wa kumnyang'anya Lema jimbo! Halafu huyo Malisa ana kiherere sanaMmmmmmm. Kuna harufu nimenusa hapa. Waliochangisha fedha ni Ephatha Nanyaro na Malisa Godlisten. Kuna jambo nyuma ya pazia