Siungi mkono Rais kutukanwa!

Brilliant[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Utaweza kuwa ndogo kutokana na mhusika na mahusiano yake na mtukanaji , sheria za nchi na urahisi wa kuihitaji hiyo haki.

Upumbavu wako ni kukataa ujinga wako haswa pale unapochangia huku ukiwa na fikra potofu na za kitumwa. Akili yako imempa rais nafasi pekee zaidi yako isiyohojiwa bado unadai haki ulizosema haziguswi.
 
Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
Marekani ya leo siyo ya kujifananisha nayo hasa linapokuja suala la maadili! Hatuwezi kukubali Rais wetu atukanwe kisa Obama amatukanwa. Rais wetu anatofauti kubwa na rais Obama kimsimamo na kimaadili lazima tukubaliane na hili. Lazima TUJITEGEMEE katika maamuzi yetu ya kujiongoza.
 
Basi kama sio bwege, ni mwendokasi.
 
President akiwa bwege hatuwezi kumuita malaika napinga vikali kauli ya lema. kama angefanya kazi alotumwa kufanya tungemsifu na tungemuita better words juzi alizuia sukari kutoka leo imeagizwa kutoka nje utamuitaje mtu wa sampuli hii mr lema am a big fan of ur work but call a spade a spade
 
Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
Funguka ndugu.
Free kukosoa au free kutukana
Nani aliyekosoa kistaarabu ameguswa
 
Umeandikwa ukweli kabisa mheshimiwa, nasi nakuunga mkono japo bado wengine wataendelea kuhoji.

Yawezekana kuna nchi nyingine rais huitwa kwa maneno mengi na mabaya zaidi lakini nafikiri bado haitoshi kuhalalisha utovu huu wa nidhamu. Tusifike huko. Kuna mengi mazuri ya kuiga lakini si hili.
 
Hata mimi siungi mkono kumtukana Rais. Kwa nafasi yake hana tofauti na baba yako. Adhabu alopewa huyo ni kutoa fundisho wengine wasije fanya ivo tena.
 
Nahonyo, uko sahihi kabisa kabisa ! 100%. Argument yangu ni kuwa ushoga ni personal issue. Ni uhuru wa mtu - hakuna haki ya jamii iliyovunjwa. Mila ni mambo yanayobadilika as long as huvunji haki ya mtu au jamii! Ni kama tendo la ndoa, haliruhusiwi hadharani lakini watu wanafanya vyumbani. Sitetei ushoga, ila natetea haki ya mtu kuwa huru bila kuvunja haki binafsi ya wengine au jamii! Mwanangu akifanya ushoga nitamfukuza kwangu na kumtolea radhi, lakini uhuru wake afanyie huko sio kwangu na sitamuingilia kwake!
 
Hata mimi siungi mkono kumtukana Rais. Kwa nafasi yake hana tofauti na baba yako. Adhabu alopewa huyo ni kutoa fundisho wengine wasije fanya ivo tena.
Rais ni ruksa kutukana? (vil aza ), Kuonea? Kuvunja haki za binadamu? Kuvunja katiba?, sheria?
 
Ukweli hauna pande mbili, Lema ulichosema ndicho binadamu yeyote mwenye staha na heshima za kibantu angesema.

Haijalishi eti mkubwa akikosea basi nawe utende kosa katika kumkosoa. Naungana nawe mbunge wangu.
 
Sasa mwenye haki ya kutukana ni nani mkuu?kwahiyo kuna watu maalumu wa kutukanwa na wengine si ruhusa kutukanwa?
 
Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
Rais anayeshabikia wanaume kuoana unadhani atajua kama bwege ni kashfa. Ndugu si kila jambo linalofanywa na Marekani ni sahihi. Tuache tabia ya kila kinachofanywa kukifananisha na Marekani.
 
Wakiitwa wao wanachukua hatua za kuwafunga walio warudishia. Ila wao wakitukana wananchi ni sawa!? Oooh malofa, wapuuzi, mabwege, vihiyo, nk.
Baba ukikosa heshima watoto watakuiga na usishangae.
 
Lema naona unatafuta kick at the wrong place, sidhani kuwa neno 'Bwege' linafanana na faini ya millioni saba, jaribu kuwaza vizuri nasio kuwaza kwa kutumia masaburi
 
Bwege si tusi. Ni neno lenye maana katika lugha ya Kiswahili.

Angeukizwa kwa nininkasema rais bwege ajitetee.

Kwangu mimi Magufuli ni bwege.

Kwa sababu hajui kachagukiwa kufanya nini.

Kachagukiwa kutetea utawala wa sheria halafu anawaambia polisi waibe matairi ya magari na kudanganya kwamba hawajaiba kama vike magari yanaweza kuja kituoni bula matairi.

Rais anayetoa kauli hii ni bwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…