Siungi mkono money laundering kushughulikiwa na TAKUKURU

GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,279
126
kwa wanaofahamu money laundering haina tofauti na kuiba gari, ukajaribu kufuta chasis number yake original halafu ukaweka yako feki, ukaibadili rangi na vitu vingine, halafu ukairudisha sokoni....sasa TAKUKURU wanaweza kushulikia wizi wa magari au vifaa vinginevyo....money laundering ni wizi sio lazima iwe rushwa...kwanini TAKUKURU washulikie suala hili

Na je ivi TAKUKURU wanajua kweli wanachokifanya? na je wanauwezo kweli wa kufanya wanachotakiwa kufanya?
 
Takukuru hawana ubavu huo. Lakini nadhani walio capable kushughulikia swala hili ni Financial Intelligence Unit (FIU) pale Wizara ya Fedha, na si vinginevyo. Or else kama alivyosema Bujibuji Takukuru ni Mlango wa wezi kutokea jela.
 
Kwa ninavyofahamu money laundering sio kosa la jinai ila ni uhujumu wa uchumi hivyo huwezi fananisha na wizi wa magari. Na kama ulifuatilia mabadiliko ya karibuni yaliyofanyika ndani ya uendeshaji wa PCCB kosa la uhujumu wa uchumi wanashughulikia wao kushirikiana na polisi. Hao wa financial regs kazi yao ni kutunga sheria tu wakishirikiana na wadau wengine wa sekta ya fedha.

Na hii ilianzia kwenye nchi zilizoendelea kama US baada ya mabenki na mashirika makubwa kuibiwa sana. Nchi zingine zilitakiwa kujiunga kwa kusaini kukubaliana na maazimio yaliyofikiwa na nchi wanachama . Kwa nchi hizo kosa hili ni kubwa sana na adhabu yake ni kubwa pia ikiambatana na kufilisiwa mali zote ulizopata kwa kipindi hicho.
 
Hapana haiwezi kushughulikiwa na wizara
 
Mkuu, Ivi kuna tofauti gani kati ya kosa la jinai na uhujumu uchumi?
 
Back
Top Bottom