Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,626
- 164,691
- Thread starter
- #41
Basi na walimu walipwe standing allowance.Sababu ya kufuta nini?
Kama zipo kisheria na mabunge yote duniani yanafanya hivyo hakuna sababu ya kufuta.Ukiona wanafaidi na wewe acha kazi yako kagombee ubunge.