ZIFUTWE. Mbona wanalipwa mshahara? Basi na walimu wapate teaching allowes. Huu ni ufisadi wa mchana. ZIFUTWE.
Asante, nashukuru sana ndugu yangu.Hii ndo post ya kwanza nakuona Salary Slip umebalehe kisiasa...umekuwa neutral na hufanyi mambo kishabiki...#KwaMaslaiYaTaifa
Mungu ambariki!Kingu agoma kuchukua posho
Uko sahihi kabisa.