Mkuu cuba yenyewe ipo marekani laba useme serikali ya marekani imemficha ila kama yeye kajificha angeishatolewa!Mafichoni huyo sasa kafa kaoza!Ningekuwa Sitti Mtemvu ningefanya kama alivyo fanya Tupac Shakur mwaka 1996. Baada ya kuhofia usalama wa maisha yake Tupac Shakur aliamua kufuata ushauri wa Niccolo Machiaveli kwa kufake death, na kwenda huko nchini Cuba ambako anaishi mpaka sasa....
Sitti asi fake death, but afake ugonjwa, azuge amepatwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia ambayo yatamfanya ashindwe kutimiza majukumu yake kama Miss Tanzania na hivyo kuhitajika kupata mapumziko ya muda mrefu.
Taji likabidhiwe kwa mshindi wa pili. Yeye (Sitti) arudi zake Marekani akaendelee na masomo ya juu zaidi na kufanya mambo mengine. Baaada ya mwaka mwaka mmoja, watanzania watakuwa wamesha sahau na anaweza kuendelea na maisha yake kama kawaida.
Mwaka wa ngapi huu tupac bado anaogopa usalama wake?
[h=3]breaking news[/h]
[h=1]After Nearly 18 Years, Tupac Shakur Now 43, Comes Out Of Hiding![/h]
California, U.S. Tupac Shakur who was supposedly killed at the age of 25 is now admitting he has been hiding this whole time. It was Shakur who in 1996 was reportedly attending a special event in Las Vegas, the Mike Tyson-Benson fight, and then afterwards was brutally murdered. A day or so later he is autopsied, then quickly cremated. There is no funeral. Nor is there any record of a tribute or memorial. Now we know exactly why it was because Tupac Shakur was never killed it is unclear why he has been hiding. This story is still under development but Tupac has already been spotted with Celebrities.
Basi ka vipi awe MRduh si avue tu taji si lazima kuwa miss
Basi ka vipi awe MR
Nashindwa nijadili kuhusu Tupac au Miss