Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

Naona ccm sasa hai hubiri amani tena wanafurahia waziri mkuu mstaafu kupigwa.Sitta wananchi wataamuaje bila kuchambua kilichoandikwa na genge lako la kihuni dodoma?Umetafuna pesa zetu bure kwa kutumwa na sekretariet ya ccm.
 
Mungu mkubwa ametuonesha another.side ya mzee.sitta ni mzee ambaye nlikuwa nahis akisimama kwenye urais anaeza shinda lakin kumbe ni moja.ya wazee.vihiyo tulionao nchii hii kafurah warioba kufanyiwa vurugu inasikitisha sana
 
Kuna siri gani hawataki midahalo. Wananchi wananataka kujua

CCM wanafahamu kwamba makongamano haya yakiendelea wananchi wataujua ukweli. Yaani wanataka wao peke yao wapite kusema kuwa jamani katiba ni nzuri sana muipigie kura ya ndiyo...watasoma maeneo ambayo wanaona yatawavutia watu kisha ipiteeeee. Hawataki kusikia mawazo mbadala na hiyo ni dalili ya kuchoka.

Kwanza nilisikia yule msanii wetu mkubwa dayamond anatunukiwa shahada ya heshima na UDSM, kama ni kweli nadhani itakuwa mojawapo ya kampeni kwa wasanii kwamba katiba imewajali wasanii na kuonyesha mfano wataanzia kwa kutoa "PhD" ya heshima kwa msanii ili na wengine wapate hamasa ya kuukwaa uzamivu.

Safari hii tutaona Tanzania yenye maajabu. Usije ukashangaa SUA wakampa Ray Kigosi shahada ya heshima ya kilimo, Mzumbe watampa Mpoki shada ya uongozi, n.k. ili mradi tu wasanii waone kwamba sasa 'wamekumbukwa na katiba mpya'.
 
Waziri wa Utangamano Afrika Mashariki anaruhusu fujo.......................

Mkuu, kama ni hivyo, ina maana anahalalisha kuwa hata yeye siku akiwa anatoa mhadhara kuhusu kitu chochote ambacho baadhi ya watu hawakipendi, afanyiwe fujo !!
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.


Huo ndiyo ukweli kwani Sitta alishatamka awali kuwa fedha zilizobaki kwenye BMK hazitarudishwa HAZINA ila atazitafutia kazi maalum. Ni vyema Sitta akatambua wazi kuwa hadhi na heshima aliyokuwa nayo mbele ya jamii inaendelea kushuka kila uchao na kama anashabikia mambo ya vurugu ambayo yeye mwenyewe anashiriki kuyaratibu asije akalalama na kuanza kuomba huruma ya umma pale atakapoanza kushambuliwa ama kuadhibiwa kwa njia yoyote iwayo.
 
Huyu mzee 6 anazidi kujimaliza kbs....heri angekaa kimya tu.
 
Mheshimiwa Sitta yuko sahihi kabisa nami namuunga mkono kwa asilimia mia...Warioba anatakiwa awaachie watanzania wataamua wenyewe lakini huku kuhangaika kwake na kujidai yeye ndiye aliyekaa na Mwalimu kuliko watanzania wote kutamuumbua siku si nyingi

Na ninyi mnapowaambia watanzania kuwa katiba ni nzuri muipigie kura ya ndiyo mnakuwa mnamaanisha kuwa hawana akili ya kuamua wenyewe? Acha awaelimishe wale wanaotaka kusikia, kama hutaki kaa nyumbani au nenda kafanye unayoyaona ni ya maana. Unatoka huko ulikotoka na mabango kuonyesha kuwa hauungi mkono kisha unafanya fujo, umeitwa na nani? Hivi ninyi watu kwa nini ni wapumbavu namna hiyo? Tutaona mwisho wake tu. Huu ujinga ipo siku utakoma na ninyi mnaoshabikia tutakuwa pamoja tu maana Tanzania iko moja, hakuna ya kwako wala ya kwangu. Vurugeni amani tu lakini taabu zikianza tutazioga sote.
 
Kilichomkuta jana Warioba ni msiba wa kujitakia

Lizabon na wenzako wote mnaoshabikia huu upuuzi,Ni aina ya Watanzania ambao nisingependa niambatanishwe nanyi,Mna IQ ndogo japo wenyewe mnadhani ni wajanja sana.Kukusaidia ndugu yangu wewe usiyeweza kutumia akili yako uliyopewa na Mwenyezi Mungu vizuri,Hiyo Katiba mnayoishabikia Wazungu wanasali kimoyo moyo ipite iwe katiba rasimi japo in public wanajifanya kupingana nanyi ili kutuhadaa Watanzania,Wazungu wanajua jinsi ya kucheza na saikoloji za Waafrika.In fact hiyo Katiba inawahakikishia Wamarekani na Washirika wake uhakika wa kuendelea kukwapua rasilimali za Watanzania, Katiba hiyo pendekezwa itahakikisha inaendelea kuwalinda viongozi vibaraka wa nchi za Magharibi.Katiba pendekezwa imeandaliwa kuwahadaa Watanzania kwamba inatetea maslahi yao lakini kwa upande wa pili inawakandamiza hasa linapokuja swala la kisheria,Katiba hii pendekezwa ina manufaa ya muda mfupi kwa kizazi cha sasa viongozi na familia zao lakini ina madhara makubwa na ya muda mrefu kwa Watanzania wa kawaida.Natumaini yale yaliyotokea Zanzibar kabla na baada ya mapinduzi hayatatokea hapa pia,or else you will regret your silly decisions
 
Mheshimiwa Sitta yuko sahihi kabisa nami namuunga mkono kwa asilimia mia...Warioba anatakiwa awaachie watanzania wataamua wenyewe lakini huku kuhangaika kwake na kujidai yeye ndiye aliyekaa na Mwalimu kuliko watanzania wote kutamuumbua siku si nyingi
Kwani Warioba sii mtanzania?akili mgando msiyo taka mambo kujadiliwa kwa uwazi mmezoea zidumu fikra sahihi za mwenyekiti hata kama ni utumbo
 
Sitta ni mjinga sana ndo maana alianzisha chama ndani ya chama simunakumbuka ccj alafu ccm wakaogopa kumtimua sasa tutamuomnesha mwanza asije
 
samwel sitta amepoteza sifa za kuwa kiongozi wa kuaminiwa na umma kwa nafasi yoyote na huu ndo mwaka wake wa mwisho kuwa kiongozi wa umma. Nina uhakika hata akigombea ubunge Paul Andrew Maganga atamshinda mapema asubuhi na akigombea uraisi kura za maoni hazitafika hata 30.
Ile laana ya watumishi wa Mungu imemmaliza ameungana na wahuni kina paul makonda na kuanzia sasa ntakuwa naandika jina lake kwa herufi ndogo
 
Kwa maelezo yake Sitta, inawezekana kabisa kuwa ndiye aliyemtuma, kugharamia na kuratibu mpango wa Makonda!

hapo pigia msitari, Makonda katumwa na Sitta na Membe kwa jeuri ya kikwete waliokuwa ukumbini jana walitakiwa kumrestisha Makonda iwe fundisho kwa kibaka mwingine kujaribu...
 
Uhaini sio kupindua serikali peke yake, bali hata kuwahujumu wanachi nao ni uhaini. Kwa nini Sitta na Makonda wasiuawe kama wahaini? Ahh! Kumbe nilikua naota tuu!
 
sitta amefikia ukomo wa kufikiri hii ndio ccm ya sasa wanashindwa kujenga hoja historia itawahukumu
 
Back
Top Bottom