Sitta: Tuna wakati mgumu


Nilitaka kukugongea like lakini nimeshindwa. Kwangu Mimi hii ni habari njema
 
mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba

pole hapo mbuzi kala mkeka lazima achinjwe subiri uone atakavyogeukwa na mafisadi wenzake tayari sita ni kafara ya katiba
 
Tena hili zee lilaaniwe kabisa.Tutaongea na Watanzania kwa lugha yoyote na mahali popote kusema HAPANA kwa usanii wa wachumia tumbo.
 
yaani mkewake magreth kamzidi akili mara mia

Uko sahihi Mkuu, mke wake kamfunika mbali sana huyu mzee. Mzee atakufa vibaya sana huyu and for sure inafikia time watu kama hawa tusingekuwa hata tunawazika kijamii, wangezikwa tu na hao mapolice wanaowalinda.

Bunge la katiba wabunge wanalundwa na police!!! How and for what??? Hata mtoto wangu wa miaka 3 anajiuliza kama hii ni kwa ajiri ya wananch why Police shika bunduki????
 

.
huyu chifu dikteta s.stta a.k.a Bokasa ndie adui namba moja wa ustawi wa demokrasia katika jamii ya kitanzania kwa sasa. ametudhulumu haki yetu ya kijikomboa na udhalimu wa watawala na hivyo adhabu yake stahiki n kushushwa shimoni angali hai. hana jema lolote katika kizazi cha sasa. aondoke zake tu.
 
Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba
tutungieni, nyie si mnaishi ulaya,uhalifu mnaoifanyia hii nchi, watoto wenu watashiriki kwenye dhiki ya madhara ya uhuni wenu.
 

Tatizo kubwa la sisi wabongo ni uvivu wa kusoma between the lines, yaani sentensi hata hazifiki kumi kuzisoma kwa utulivu na kuzielewa ni sheeedah je kitabu? No wonder wazungu wanatutania kwamba kwa mswahili ficha fedha kwenye vitabu utazikuta!! Namnukuu mleta mada...''Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba....'' wapi amekuambia ameyaongelea bungeni?
 

huyo JAMAA NIMEMSOMA HALAFU NIKAMPUUZA , ASANTE KWA KUMPA ZA USO !
 
Duh!
eee bhana eeee ! Noma sana .
 
Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba

Una roho kama ya paka...
 
..nliwahi kusema watu wenye hulka na kibri na fedhuli na nafiki kama sitta mwisho wao huwa mbaya sana.....pale wanaposhindwa kufikia matarajio ya fedhuli yao.....mara nyingi watu hawa hudhurika kimwili kwa "natural causes"....na sitta naona anaelekea huko....unamwona tu hata kwa fikra....watu hawa wanaolalamikiwa hadi makanisani mwisho wao si mzuri hata kidogo.....ni suala la mda tu.....mapesa na malimbikizo ya kibri yao huwa yanatumika kuwahudumia vitandani wanapokua dhofli bin taaban......
 
Bifu la fisadi Chenge na mnafiki Sitta limekwisha?

"Uspika"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…