Sitta ni mmoja katika genge hilo ndio maana alifunga mjadala wa Dowans mara tu aliotishiwa kunyang'anywa kadi yake ya CCM na hivyo kukosa sifa za kuendelea kuwa Spika. laiti kama angekuwa jasiri na kuachaia mjadala uendelee leo hii wasingefikia mahali pa kulipa fedha zote hizo. Ni kwamba nataka kutumia hasira za watanzania kujisafishia nia ya urais 2015.