Sitta-tuibane serikali isisamehe mambo ya hovyohovyo! Mambo yakiwa magumu CCM si mama wa baba yake

Its another move ya SITA - Waziri kuikosoa serikali LIVE!! -- its a challege kwa Balaza la Mawaziri na Ikulu. Sita wanakuita eti wewe ni mnafiki sasa waonyeshe kwamba unachokiamini unakisimalia ije kifo ije Neema.

Tatizo wengi tunahoji VITA hii unaipigana ukiwa ndani na CCM - Hutaiweza.
 
Baadhi wnabeza sasa wanaowaamini ni wasafi watoke na waprove kwa umma kwamba anachosema sitta sio kweli!
 
mzee 6 anatumwa na magamba wenzake ili tuone hata wao wanapishana kimtazamo juu ya dowans,lakini nataka kuwaambia hakuna mtu kigeugeu kama yeye,kama anaona system ni mbovu ya kusemea kwa wananchi kila siku kwa nini alijiondoa ccj akamuacha mwenzao!!!haya mambo ya ajabu sana na utayaona hapa bongo tu!!!!
 
Sitta ndiye anayetulipisha hela kwa Dowans kwa sababu ya kuukosa uwaziri mkuu 2005
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom