Sitta: Nchi imebaki mifupa

Sitta: Nchi imebaki mifupa

Nakubaliana na wote wanaosema huyu jamaa ni mnafiki

.....Sitta alisema kama mamlaka hizo hazitachukua uamuzi mgumu kwa kuwakabili watendaji wake wenye utajiri wa kutisha, nchi itaendelea kuwa maskini na wananchi watabaki na maisha magumu......

  • Ofisi ndogo ya spika Tabora je kila spika akifanya hivyo na walimtangulia wangefanya hivyo ingekuwaje.
  • Bado anaishi nyumba ya spika eti ni spika mstaafu. Hivi kama Mawaziri wakuu , Majaji wakuu Ma RC wangeendea kushi nyumba zao baada ya kundka katka nafasi zao ingekuwaje?
Sitta aache unafiki kwanza ialitaiwa kuanisha na kutaja baadhi ya makosa aliyofanya na kuwaomba msamaha waTanzania. Baada ya hapol abda tungeelewa six anzumgumza kitu amabcho kinatoka moyoni na ana uchungu na watanzania sio sababu anataka madaraka au kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake
 
Huyu mzee ni maiti inayotembea, hata CCM wenyewe tumemshtukia!

Sita akiwa maiti inayotembea, je wewe utakua nani. Ni heri sita anayesema ukweli kuliko wewe mnafiki....unayefikiri kwa kutumia "masaburi"
 
hiyo gia haitamsaidia kuongeza kiasi cha kupendwa na wananchi.Hata Synovate wameonyesha Samwel Sitta watu hawamkubali kihivyo(2% bado ni ndogo sana).huyo CCJ NI MNAFIKI NA MSALITI KAMA YUDA ISKARIOTI.
 
Atakuwaje ndani ya serikali yenye watu wa jinsi hiyo? Angeeleweka angeyasema hayo akiwa nje ys serikali hiyo.

Hata hivi anaudhalilisha sana mhimili wa bunge. Unakuwa Spika, mkuu wa mhimili, halafu unahamia kwenye mhimili mwingine kuwa waziri wa kawaida!
 
hata siku moja sitakuja kumwamini Sitta.yul mzee hana haeleweki
 
Nakubaliana na wote wanaosema huyu jamaa ni mnafiki


  • Ofisi ndogo ya spika Tabora je kila spika akifanya hivyo na walimtangulia wangefanya hivyo ingekuwaje.
  • Bado anaishi nyumba ya spika eti ni spika mstaafu. Hivi kama Mawaziri wakuu , Majaji wakuu Ma RC wangeendea kushi nyumba zao baada ya kundka katka nafasi zao ingekuwaje?
Sitta aache unafiki kwanza ialitaiwa kuanisha na kutaja baadhi ya makosa aliyofanya na kuwaomba msamaha waTanzania. Baada ya hapol abda tungeelewa six anzumgumza kitu amabcho kinatoka moyoni na ana uchungu na watanzania sio sababu anataka madaraka au kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake
Mimi nadhani hapa wa kulaumiwa kwa unafiki siyo Sita bali aliyemchagua kumpa nyadhifa alizo nazo sasa.
 
Amechangia kulitafuna taifa.
Kabla ya serkal kuwanyan'ganya mawazr wenzake mal, wamfukuze ktk nyumba aliyopangiwa.
Amelewa!
 
Yaani staili za Sitta za siasa ni typical za viongozi wa kiafrika kama akina Laurent Gbagbo, Mugabe na wengineo wengi wa design ile. Wanafiki kupindukia. Wanaanza kama vile wanatetea maslahi ya wananchi halafu wakipata madaraka wanalewa na hawataki kuyaachia. Dalili zote za Sitta ni kuutafuta urais. Na ng'o haupati. Bora fisadi asiye mnafiki kuliko fisadi mnafiki kama Sitta. Anaona boriti kwa wengine wakati kwake kuna vibanzi. Nilimcheki pale Zanzibar kwenye maoni ya katiba mpya ni kujipetpet kw wazanzibari kwenda mbele ili aonekane mzuri. Watu wa design hii hawapendwi na watu na Mungu hawapendi pia. Sasa utaikashifu vipi serikali ambayo hata wewe ni mmoja wao, waziri wake? Uroho wa madaraka tu.
 
ukiona watu tumeanza kuona rangi za sitta ukombozi unakalibia HUYU NI MNAFIKI MKUBWA WA NCHI HII NI HATARI KULIKO LOWASA!
<br />
<br />
naona jitihada za kumsafisha EL ubarikiwe ndugu..
 
msema kweli.nchi imebaki mifupa.Subiri mifupa hiyo ikutane na fisi nchi itakuwa imekwisha
 
Kila mtu anajua nchi imebaki mifupa, Tumsake aliyekomba minofu au tugombanie hii mifupa iliyobaki, ikiisha tufe wote.!
 
Binafsi najua 6 amekaa marakani muda mrefu,ameongoza idara,bunge nasasa ni waziri.Kitaluma ni mwanasheria kwa nafasi zote hizo ni lini ameonyesha hata njia ya hawo vijana/kijana kuchukua hatua sahihi,cdm na wapenda maendeleo wengine wakitumia njia aliyotumia,anasema ni wanafiki.Wenzie huenda mbali zaidi hata kutaja tuhuma na majina.Yeye kinamshinda nn?jengo la Tabora kwa sasa linatumika kama ofisi gani?ni walewale tu.
 
Binafsi najua 6 amekaa madarakani muda mrefu,ameongoza idara,bunge nasasa ni waziri.Kitaluma ni mwanasheria kwa nafasi zote hizo ni lini ameonyesha hata njia ya hawo vijana/kijana kuchukua hatua sahihi,cdm na wapenda maendeleo wengine wakitumia njia aliyotumia,anasema ni wanafiki.Wenzie huenda mbali zaidi hata kutaja tuhuma na majina.Yeye kinamshinda nn?jengo la Tabora kwa sasa linatumika kama ofisi gani?ni walewale tu.
 
kasema ukweli wote ila kuukubali sisi ajiuzuru tumuone kama kweli anamaanisha anachokisema. anayaona wanayofanya wenzake na kumbukeni siasa ni fitina.
 
Sita ni mnafiki wa kutupwa na huyu jamaa ameimaliza reputation ambayo angekufa nayo na watu wakamkumbuka nayo ya kuwa spika mzuri. sasa hivi anaharibu tu.

Ni bora yeye aliye mnafiki lakini anauwezo wa kukemea uovu.... kuliko mnafiki asiyeweza kemea uovu.. kama Magamba yote yaliyobaki
 
Back
Top Bottom