Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
<br />Na nyie mnasumbuliwa na unafiki tu, kama amewashinda au mmemstukia kwa nini msimteme??? Tatizo maamuzi yenu yanachukua muda maana yanatoka kwenye makalio.
<br />
tumia tafsida "masabur"
<br />Na nyie mnasumbuliwa na unafiki tu, kama amewashinda au mmemstukia kwa nini msimteme??? Tatizo maamuzi yenu yanachukua muda maana yanatoka kwenye makalio.
Sita ni mnafiki wa kutupwa na huyu jamaa ameimaliza reputation ambayo angekufa nayo na watu wakamkumbuka nayo ya kuwa spika mzuri. sasa hivi anaharibu tu.
Please enlighten me, nimeona maneno mengi sana juu ya sitta mnafiki, unaweza spare your time ukanifafanulia unafiki wa sitta unaosemwa ni ui haswa?
Unafiki wa kujifanya anajali kusema nchi imebaki mifipa bila kuelewa na kukiri na yeye amekuwa na ameshiriki kipindi fulani kula nyama.
wadau wametoa mfano. Chini ya uspika wake SIX
Kifupi sita ni mwanasiasa na mzungumaji mzuri lakini hana Idea ya nini kifanyike kutuvusha hapa tulipo.
- amerdihia gharama kubwa zitumike kujenga ofisi kule tabora..........
- Pamoja na rasilimali za mbao za mkoa tabora hata viti vywa kukalia wageni kwenye ofisi yake vimeagizwa china. Sawa yeye akalie kiti cha kuzunguka kutoka majuu lakini hata visofa vya wageni . Kwa nini hakupendekeza tender ya mafundi wa tabora watengeze viti vya wagenu. Watasema quality hata mafundi wa keko. Sasa huyu mtu ndio atajifanya ana umizwa na ukosefu wa ajira za vijana.........
Unafiki wa sitta kama mtu ambaye yuko kwenye baraza la mawaziri unaonyesha ni mtu hatari . Machoni mwa wananchi anapenda kujionyesha yeye ni mtu safi na wenzake ni wachafu . Hana colllective responsbility.
Wewe mchambuzi unamunaje huyu mzee six
Nimeelewa hoja yako Zing, ni kweli Sitta ana mapungufu yake, kama ilivyo kwa viongozi wengi tu. Kwa kifupi hakuna kiongozi msafi Tanzania, whether ndani ya CCM au vyama vya upinzani, especially akishajikita katika madaraka, kuna njia moja au nyingine atatumia tu madaraka yake vibaya. Aliyeweza kutotumia madaraka yake vibaya alikuwa ni Mwalimu Nyerere tu, na hilo ni just within the context ya ufisadi, otherwise kimaamuzi, pamoja na mazuri yake mengi kwa nchi yetu tanzania, kuna baadhi ya maamuzi yalikuwa mabaya kabisa. Nikirudi kwa Sitta, ninachompendea ni kwamba ni kiongozi anaethubutu na mjasiri, sifa hiyo amekuwa nayo tangia akiwa mwanafunzi wa sekondari hadi chuo kikuu. Na ni moja wa viongozi ambao mwalimu aliwapenda na kuwazungumizia sana (mfano rejea kitabu cha mwalimu - Viongozi Wetu na Hatima ya Tanzania). Kitu kingine ambacho kitanifanya nione kwamba mapungufu yake sio mabaya kiasi hicho ni kwamba, kwanini asisulubiwe na chama chake na serikali yake na kumalizwa kabisa kisiasa? Wangetafuta kila loop-hole kumpoteza mtu huyu katika ulimwengu wa kisiasa. Mapungufu anayo lakini ni dhahiri kabisa sio kama ya wengine wanaotapa tapa sasahivi kisiasa. Inawezekana anapenda madaraka, lakini je nani hapendi? Kujijengea ofisi ya Uspila Tabora sio jambo la ajabu kwani ilitegemewa angekuwa spika kwa miaka kumi, ni mchezo tu ulichezwa, na kama Spika, hawezi kwenda jimboni kwake na akatumia ofisi ile ya bunge, hivi umeziona ofisi za bunge zilivyo? ni chumba tu, hata ofisi nyingine za walimu wakuu shule za msingi zina ubora zaidi in terms of nafasi. Spika akienda jimboni kwake anabeba mikoba yake na wasaidizi wake rasmi kama spika.

Mkuu Mchambuzi,
Sitta is like a freight train na hawana jinsi ya kulicontrol. Usione watu wanamshupalia hivi kila siku na kumwita mnafiki wakati huohuo, watu haohao hawajawahi hata siku moja kumwita kiongozi aliyejiuzulu kwa kashfa mnafiki, ingawa inajulikana kuwa UFISADI ndio tatizo kuu linalotumaliza sasa hivi, na huyo aliyejiuzulu kwa kashfa hajawahi hata siku moja kukemea ufisadi. HALAFU wanadiriki kusema fulani aliyejiuzulu kwa kashfa ni kiongozi mwenye maamuzi magumu, wakati mdomo unageuka zege akiambiwa aongelee UFISADI... How Sick!
Wengi wanaomshambulia Sitta si ajabu ni wahanga wa enzi za paradiso za uongozi wa 10%, na wana uchungu bado wanaugulia. kujenga ofisi ya vyumba vitatu ambayo bado itamilikiwa na bunge kwa miaka hata 100 ijayo Urambo, wameona ndio sehemu pekee ya kushikilia kama KIELELEZO chao. How pathetic!!!
Kwa CCM kwa sasa Sitta na Magufuli are their only hope for 2015... Watu wenye misimamo, na kaudictator kidogo ndio wanaotakiwa. Sio watu wenye price tag iliyobandikwa kwenye mapaji ya uso wao. Hata ma"investors" wakishuka wanajua mpaka price tag ya head of state. Hope you
know namuongelea nani?
Huyu mzee ni maiti inayotembea, hata CCM wenyewe tumemshtukia!