chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Usipika alishindwa na wenzake wakaona hawezi, sasa ataweza huku?
anafaa kwakuwa haogopi mtu na anaweza kuthubutu.
Anakosa sifa moja kubwa, amekuwa mtiifu kwa wakubwa pamoja na chama huku akipuuza sauti za wanyonge. yaani kulinda maslahi ya chama na wakubwa kuliko ya watanzania tulio wengi kimatendo.
Kwa CCM 2015 ni zamu ya wanawake, kama Sita ana kigezo hicho haina tabu, urais wakeKatika kile kinachooneka ni kujiweka kwenye fikra za watu, aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania ndgu. Samwel Sitta ameibuka Rasmi na kutangaza waziwazi nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alisema vigezo vyote anavyo na anakubalika kwa wananchi hivyo amekitaka chama chake cha CCM kama kinataka kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2015 basi hawana budi kumsimamisha yeye.
Pia alitoa angalizo ya kuwa ccm wasipokuwa makini kumtafuta mtu makini na wakachagua mtu asiyekubalika itatoa nafasi kwa UPINZANI KUCHUKUA NCHI KIRAHISI SANA.
Lakini pia alisema hayo yatafanikiwa kwake kwa kutegemea UPEPO WA KISIASA NCHINI UTAVUMAJE WAKATI HUO.
CHANZO MAGAZETI YA LEO.
IKUMBUKWE HUYU ALIVULIWA USPIKA KWA KILE KIGEZO CHA LAZIMA WAKATI HUU NAFASI IWE KWA JINSIA YA KIKE.
WADAU MNAOMFAHAMU MTANZANIA HUYU JE ANAFAA KUWA RAIS KWA VIGEZO VYA WATU WANAOTAKA MABADILIKO?
MAANA KASHATANGAZA NIA.
MAULID NJEMA WOTE.
mnyonge mnyongen haki yake mpeni. aliongoza bunge lenye viwango, ni shupavu. anajiamini. naona anafaa 100%.