Sitta & Makinda

Sitta & Makinda

assengagt

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
289
Reaction score
134
Ni bunge lipi machachari, la mzee Sitta au ili la mama Makinda? Why?
 
La Sitta ndo lilikuwa machachari, ya safari hii mipasho mingi mno!
 
Mbona bunge hili ndilo linaloongoza kwa kurudisha bajet? Hauoni kuwa Sita alikuwa akizima baadh ya mijadala kwa hofu?
 
hv hili la sasa nalo ni bunge eeh? Aisee sikuwa nafahamu!
 
Kulia na kucheka zote kelele!!! Hakuna mwenye nafuu! Magamba tuu
 
Back
Top Bottom