Sitta: Kuna Wabunge mizigo CCM

Sitta: Kuna Wabunge mizigo CCM

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, “ baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo”

“Wabunge wa jinsi hii hawatufai’ hawana Hoja za kuchachafya upinzani” alisema Sitta.

Chanzo: Mwananchi, Jumanne, Julai 30, 2013
 
wataje sio kuingilia kazi isiyo yako kwani wewe ni nani kwenye ccm? katibu mwenezi au katibu mkuu?
 
Watu hamna shukran! Akikaa kimya mnamsema ooh kanunuliwa ndio maana kawa bubu. Akikikosoa chama chake bado mnamsema sasa lipi jema kwenu?
 
Watu hamna shukran! Akikaa kimya mnamsema ooh kanunuliwa ndio maana kawa bubu. Akikikosoa chama chake bado mnamsema sasa lipi jema kwenu?

jema kwetu aende chama kingine tutulie na unafiki wake huyu jizere
 
Teh teh 6 bwana!! Si angemtaja tu komba kepteni na kayombo? Huyu mzee mwisho wa siku ataondolewa kwa aibu ccm, maana upinzani anataka, chama tawala anataka, aah makubwa!
 
Back
Top Bottom