Munabusule
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 976
- 492
Kweli viongozi wana play role kubwa sana katika utulivu wa nchi... lakini kwa sasa hawakupaswa kushirikishwa baada ya rasimu ya pili kuwasilishwa... hawa wataharibu hali ya hewa soon asipoangalia...
Hawa viongozi wa dini lazima kwanza watambue sitta ndiyo chanzo cha haya yote tangu alipochakachua kanuni hadi uchaguzi wA WENYEVITI WA KAMATI.Tayari kagundua ni machweo sasa anatafuta pa kutokea.Akumbuke Lema alimpa ushauri wa bure akapuuza.Alinywe mwenyewe