Wote hawa ni mkoa wa Tabora. Jamani unganeni muangalie mkoa wenu wa tabora na wilaya zake. Uko nyuma sana na nafasi mnazo. Usipojenga kwako nani atakujengea? Unganisheni Kigoma na Tbr kwa barabara tena kwa vitendo na sio maneno matupu. Mkicheza mtakuja hukumiwa na wapiga kura wenu wa Tabora na vizazi vijavyo. Hamuoni aibu?
Kama ingekuwa hivyo nadhani makao makuu ya serikali yangekuwa Butiama na Chuo Kikuu pia kingekuwa huko huko! Ni kweli wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kuendeleza maeneo waliyotoka BUT not at the expense of others! Ni mtazamo tu
Waungane.......... wanafungu gani la kupeleka maendeleo unayoyataka huko kwao zaidi ya mgawanyo unaotoka serikalini? Usiwe na mtazamo finyu, maendeleo hayaji kizembe namna hiyo