Huu ni wizi mwingine, halafu kuhusu yeye kwenda Marekani akazima hoja kama hizo zisiendelee hadi arudi ina maana msaidizi wake hawezi kazi???? Thisi is Tanzania watu wapoooooleeeeeee!!!!!!Amesema wiki ijayo atakuwa safarini Marekani hivyo issues zote sensitive kama vile "richmonduli", EPA, etc. zisubiri hadi atakaporudi baada ya wiki moja.
Hii naona kama wana-personalise institutions, yaani mtu anasafiri na ofisi yake?
Live toka hapa Dodoma . Sitta kwa mara nyingine amezima issue ya kutaka hoja iende Bungeni kwa kusema anashauriana na Serikali na anatatoa majibu baadaye . Hii ni baada ya wapinzani kuanza kuibana serikali na Zitto akiwa anakaribia kusimama kumwaga mambo basi Spika akasema basi inatosha atalisemea baadaye .So sasa ni matangazo maana kesha ua sooo. Hili ndilo Bunge letu la watukufu wetu wale .

This is ridiculuos ! What is wrong with Sitta, Does he think is the only smart guy in the room besides why he has to travel while the parliament is in session ?
Huyo ndo spika wa Standard and Speed. Anazeeka vibaya mno kwani hata bunge anataka kulifanya kama lake. Asipokuwepo mambo hayaendi kama alivyoagizwa na Mafisadi. Ni kuzima moto na kupitisha muda ilimradi siku zinaenda. Kwa kweli kwa mtindo huu tunasafari ndefu. Mungu ibariki Tanzania.Bunge linasimamiasha shughulu zake eti kwa kuwa spika anaenda US! Kwani hakuna naibu wa spika anayeweza kukaimu nafasi hiyo vizuri sana kuliko hata huyu msanii Sitta!?
Spika has to apologize very immediately ama naibu wake ajiuzulu kama spika anamwona hana uwezo wa kuliendesha bunge kama hayupo.
This is a principal question kama ni kumnyanyas mwanamke basi hapa wanaharakati waje waseme , ila la kushangaza utaona media zetu zisivyo sensitive hawataona kuwa hili ni jambo kubwa na ambalo halipaswi kufumbiwa macho liendelee kuwepo.