Nyabhurebheka
Member
- Apr 11, 2011
- 73
- 24
Wewe ni kakakuona kweli kweii, haujui defination ya sumu tukusaidie? hata mtoto wa darasa la kwanza atakusahngaa akisoma ulichoandika.
Wewe nawe una njozi kweli.....muwe mnasomaga! habari kabla ya kukurupuka. Sasa ameumbuka Mh. Sitta au jeshi lako na serikali yako inayoudanganya umma na swala zima la Dr. Mwakyembe. WEWE NDIO MZUSHI.Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo
"taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea hali niliyonayo, kitu ambacho mabingwa wanahangaikia kukidhibiti/ kukiondoa"
Kwa kiswahili rahisi kabisa ni kwamba bado madaktari hawajagundua chanzo cha tatizo alilonalo mwanyembena wala mwakyembe hajathibitisha kulishwa sumu tofauti na SITTA anavyotaka wananchi waamini kwamba mwakyembe alilishwa sumu, huu ni ushahidi wa siasa za maji taka za mweshimiwa samweli sitta.
Mytake: Tujihadhari na taarifa za uzushi zisizo na uthibitishoi wa kutosha
Kwa uongo aliouweka kwenye vyombo vya habari< tuleteeni ushahidi wa mwakyembe kupewa sumu!
Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo

Mafisadi ndio wameumbuka.Sitta ni chuma cha pua

kroooh ptuuuuh

Excuse you!! Sita is what? Shame on you. This same sita who drop off Richmond saga in de parliament? How dare u!!
Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo
"taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea hali niliyonayo, kitu ambacho mabingwa wanahangaikia kukidhibiti/ kukiondoa"
Kwa kiswahili rahisi kabisa ni kwamba bado madaktari hawajagundua chanzo cha tatizo alilonalo mwanyembena wala mwakyembe hajathibitisha kulishwa sumu tofauti na SITTA anavyotaka wananchi waamini kwamba mwakyembe alilishwa sumu, huu ni ushahidi wa siasa za maji taka za mweshimiwa samweli sitta.
Mytake: Tujihadhari na taarifa za uzushi zisizo na uthibitishoi wa kutosha
kaumbuka sitta au umeumbuka wewe?

Serikali ndiyo inaumbuka sasa. Hawaelewani kuanzia Rahisi Kwetekwete, PM Pindapinda, Spika Makindamakinda, mawaziri Zururazurura, etc. Ni mchafukoge kama kwenye mlipuko wa volcano; huku, kule, pale, kila mahali. mtu anajiropokea tuu from nowhere, siyo WAZIRI MKUU, SPIKA, IGP, DCI, MINISTERS, etc etc etc. Tumwamini nani??? SAA YA UKOMBOZI NDO SASAMafisadi ndio wameumbuka.Sitta ni chuma cha pua
Kitu chochote ambacho kinaingia au kinatengenezwa ndani ya mwili na kuanza kuudhru huo mwili ni sumu.
Unaweza kula chakula na baadaye tumbo likachafuka, hii inaitwa food poison.
Kwa hiyo sumu unaweza kujilisha wewe bila kujua au ukalishwa na mwingine bila wewe kujua.
Duniani kwa sasa kila kitu kinawezekana. Mtu anaweza akatengeneza sumu na akalenga kiungo fulani cha mwili ili akiharibu.
Kuna mtu moja alikuwa maarufu sana Duniani hapo zamani. Maadui zake walitafuta namna ya kumpa sumu wakashindwa.
Baadaye walitumia mbinu rahisi kabisa ya kuweka sumu kwenye toilet paper ambayo huyu jamaa baada ya kuitumia alidhurika na baadaye kufa.
Kwa sasa tusubiri taarifa ya Daktari anayemtibu mgonjwa ambayo kiutaratibu itapelekwa kwa yule mwenye dhamana ya kupeleka wagonjwa nje ya inchi ambaye ni Wizara ya afya.
Na hata ikijulikana kuwa Dr. Mwakyembe amelishwa/ameingiziwa sumu bado hakuna wa kumkamata kwani itakuwa vigumu kuthibitisha kuhusuka kwake.