Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

WanaJF,

Akiwa anahutubia wananchi wa jimbo lake, mhe Sitta amesema waziwazi bila kuficha chochote uhusika wa Lowassa kwenye sakata la RICHMOND.

Sitta alieleza kuwa, ni aibu kwa mtu fisadi kama Lowassa kuthubutu kugombea Urais.

Katika kukazia maelezo yake hayo, Sitta aliueleza umma wa Watanzania kupitia mkutano wake huo kuwa, Lowassa alishirikiana na rafiki yake Rostam kuunda kampuni hewa ya Dowans ambayo inaendelea kututafuna Watanzania hadi hii leo. Sitta aliongeza kuwa, "pesa ya kuwalipa Dowans imeingizwa kwenye deni la Taifa, deni ambalo mimi na wewe tunalilipa"

Aidha, Sitta amesema ikiwa Serikali ingetumia pesa ya kuwalipa Dowans pekee katika kuleta maendeleo, basi pesa hizo zingetosha kabisa kumaliza changamoto zote katika sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi ya walimu, kujenga maabara na vifaa vingine vya kufundishia na kuongeza shule kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sitta zaidi ya 300. Badala yake kwa uovu wa Lowassa Serikali inatumia mabilioni hayo ya fedha kuwalipa Dowans.

Katika kuhitimisha hotuba yake hiyo mujarabu, Sitta amesema ikiwa Lowassa atapinga chochote kati ya hayo aliyosema, basi anamtaka Lowassa kufanya mdahalo kupitia kituo chochote cha televisheni upande mmoja akiwa yeye (Sitta) na Mwakyembe huku upande mwingine akiwa Lowassa na mafisadi wenzake atakao wataka.

My take,

Taifa haliwezi kuongozwa na FISADI.
Inasikitisha Sitta LEO anamwita Lowassa fisadi. Hivi mzee Sitta haoni kuwa naye ni mshirika mwaminifu ktk sakata hili? Angechukua hatua stahiki Lowasssa na Rostam wangekuwa huru? Ninachokiona hapa ni uhaba wa uzalendo wa Sutta na rafiki yake Mwakyembe.
 
Yaani ccm wabunge raisi wenye viti hajui kujinadi yaaani wamesahau kua wanatakiwa wafanye nn wao ni lowasa tuuuu eeeeeeeeeeeeeeeeh wamuacheeeeeeee raisi wetubona yeye hamjaji mtu yupo bize na kampeni zake eeeeeeeeeeeeeeeeh jamani ccm Vp nyieeeee
 
Tukisema serikali ya CCM ni dhaifu na haiwezi kututoa hapa mnabisha....Sitta anajichungilia nyeti zake mwenyewe..

Unajua nawazaga sana mambo anayoongea Sitta naishia kucheka tu..Huyu mzee sijui hata kama ni mzima na yuko timamu kichwani huyu ?
 
Mbona kipindi hiki ccm wana muwasho wa mdahalo sana wa urais?
Mbona kipindi cha Dr. Slaa mlikua hamtaki kusikia mdahalowa urais?

Na sisi kipindi hiki tunasema HATUTAKI kajadalianeni wenyewe sisi tupo busy na WATANZANIA.
usiwe mtu wa kubadili misimamo uho ni uoga mdahalo ccm walikuwa wanakimbia kwasababu awajiamin sasa na ukawa mnakimbia kwasababu gan?
 
Achana na Mdahalo, Samwel Sitta kam kweli analolote la maana Kuhusu Richmond, Apeleke ushahid Mahakamani......Aache kutafuta Kick ya kisiasa kupitia Richmond.
 
WanaJF,

Akiwa anahutubia wananchi wa jimbo lake, mhe Sitta amesema waziwazi bila kuficha chochote uhusika wa Lowassa kwenye sakata la RICHMOND.

Sitta alieleza kuwa, ni aibu kwa mtu fisadi kama Lowassa kuthubutu kugombea Urais.

Katika kukazia maelezo yake hayo, Sitta aliueleza umma wa Watanzania kupitia mkutano wake huo kuwa, Lowassa alishirikiana na rafiki yake Rostam kuunda kampuni hewa ya Dowans ambayo inaendelea kututafuna Watanzania hadi hii leo. Sitta aliongeza kuwa, "pesa ya kuwalipa Dowans imeingizwa kwenye deni la Taifa, deni ambalo mimi na wewe tunalilipa"

Aidha, Sitta amesema ikiwa Serikali ingetumia pesa ya kuwalipa Dowans pekee katika kuleta maendeleo, basi pesa hizo zingetosha kabisa kumaliza changamoto zote katika sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi ya walimu, kujenga maabara na vifaa vingine vya kufundishia na kuongeza shule kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sitta zaidi ya 300. Badala yake kwa uovu wa Lowassa Serikali inatumia mabilioni hayo ya fedha kuwalipa Dowans.

Katika kuhitimisha hotuba yake hiyo mujarabu, Sitta amesema ikiwa Lowassa atapinga chochote kati ya hayo aliyosema, basi anamtaka Lowassa kufanya mdahalo kupitia kituo chochote cha televisheni upande mmoja akiwa yeye (Sitta) na Mwakyembe huku upande mwingine akiwa Lowassa na mafisadi wenzake atakao wataka.

My take,

Taifa haliwezi kuongozwa na FISADI.

Nyamaza Sitta, ovyo kabisa. Sasa huo ufisadi wa Lowassa mnaotaka uanikwe leo, mlificha wa nini? Ninyi mliouficha huo ufisadi tofauti yenu na Lowassa ni ipi? Kama Sumaye ni fisadi, je, Mkapa atapona? Kumbe ufisadi unaonekana mara mtu akijitoa CCM? Sitta, tena wewe unyamaze kabisa. Ulijenga ofisi ya Spika kwa millioni 500 za umma huko kwenu, huo haukuwa ufisadi? Pole sana Spika wa milele!
 
Akina sita wafanye mdahalo kwanza na wahusika wa Escrew. Muhongo, ngereja, prof tibaijuka na rugemalila akiwemo na mkurugenzi wa mkombozi bank.
 
Yaani ccm wabunge raisi wenye viti hajui kujinadi yaaani wamesahau kua wanatakiwa wafanye nn wao ni lowasa tuuuu eeeeeeeeeeeeeeeeh wamuacheeeeeeee raisi wetubona yeye hamjaji mtu yupo bize na kampeni zake eeeeeeeeeeeeeeeeh jamani ccm Vp nyieeeee

Je na Lowasa anajua kujinadi?
 
WanaJF,

Akiwa anahutubia wananchi wa jimbo lake, mhe Sitta amesema waziwazi bila kuficha chochote uhusika wa Lowassa kwenye sakata la RICHMOND.

Sitta alieleza kuwa, ni aibu kwa mtu fisadi kama Lowassa kuthubutu kugombea Urais.

Katika kukazia maelezo yake hayo, Sitta aliueleza umma wa Watanzania kupitia mkutano wake huo kuwa, Lowassa alishirikiana na rafiki yake Rostam kuunda kampuni hewa ya Dowans ambayo inaendelea kututafuna Watanzania hadi hii leo. Sitta aliongeza kuwa, "pesa ya kuwalipa Dowans imeingizwa kwenye deni la Taifa, deni ambalo mimi na wewe tunalilipa"

Aidha, Sitta amesema ikiwa Serikali ingetumia pesa ya kuwalipa Dowans pekee katika kuleta maendeleo, basi pesa hizo zingetosha kabisa kumaliza changamoto zote katika sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi ya walimu, kujenga maabara na vifaa vingine vya kufundishia na kuongeza shule kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sitta zaidi ya 300. Badala yake kwa uovu wa Lowassa Serikali inatumia mabilioni hayo ya fedha kuwalipa Dowans.

Katika kuhitimisha hotuba yake hiyo mujarabu, Sitta amesema ikiwa Lowassa atapinga chochote kati ya hayo aliyosema, basi anamtaka Lowassa kufanya mdahalo kupitia kituo chochote cha televisheni upande mmoja akiwa yeye (Sitta) na Mwakyembe huku upande mwingine akiwa Lowassa na mafisadi wenzake atakao wataka.

My take,

Taifa haliwezi kuongozwa na FISADI.
Sitta arudishe chenji ya BMK kwanza ndiyo aseme.Mitambo ya Dowans mlishauriwa Tanesco inunue wewe Sitta na kundi lako mkapinga matokeo faini ya 90bn.huku mitambo ilikua ni 40bn tuu.Sitta mkeo anaongoza kwa kutoa rushwa na kila mwaka anakamatwa na Takukuru
 
sita na mwakyembe ni wanafiki tena wao ndo wa kupelekwa mahakamani. mwakyembe kwa nini ulificha ushahidi wa kamati yako eti kwamba ungeutoa wote serikali ingeanguka. ina maana bunge iliituma kamati yako ikafiche ushahidi. na wewe sita kwa nini ulizima mjadala wa richmond kama siyo ulipokea vitisho vya kutaka kutoswa kwenye chama chako. halafu leo mnataka kuwadangany watanzania ....hamsomeki kabisa.
 
Nimewahi kuwaambia Mwakyembe na Sitta ndio watakaompeleka Lowasa Ikulu, na jambo hili linafanywa kisayansi. Na mwisho Mwakyembe atajifanya chizi kutoa kile alichokificha kwa miaka 8 hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno hapo lumumba!!
 
Dah kweli kuna leo na kesho... Yaani leo hii bavicha na pro cdm wamekuwa watetezi wa lowassa? Kusema kweli i didn't see this coming ..
 
Hon. Sita lipi ni suluhisho la ufisadi Mdaharo au Mahakama???????? Acheni cheap politics while you are matured and aged!!!!
CCM sema boss mkuu anahusika au hapana?? EL ana kesi yoyote ya kujibu katika mahakama za JMT????
Hoja kwa hoja siyo hisia kwa hoja.

Serikali dhaifu na uongozi dhaifu show. Take EL to court like Mramba and others to answer UFISADI charges na siyo blaablaaa za KISIASA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom