Sitta asema CCM wachukue hatua si kukimbilia dola!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta asema CCM wachukue hatua si kukimbilia dola!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Glad, Mar 10, 2011.

 1. G

  Glad Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema CCM wanatakiwa kujiangalia upya kuhusu mwenendo wa viongozi walio wengi wa chama hicho ambao wanakipeleka chama pabaya na chama kupoteza umaarufu mbele za wananchi!! Sitta amedai chama kiko kwny hali mbaya sasa kutokana na baadhi ya viongozi kuchanganya kazi za chama na biashara kubwa kubwa, ameenda mbali na kusema hatua zisipochukuliwa mapema chama kinaweza kuanguka vibaya. Vile vile ameonya CCM iache kutumia dola kupambana na upinzani bali ijibu hoja na si vinginevyo!! Katika hili namsifu sana Mh. Sitta kwa ushuri huu mzuri kwa chama chake.

  Source: ITV Habari
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Another ambiguity from the Ministrial Council!

  Sitta, wewe ni mzalendo halisi, Mungu akubariki usitumiwe Al-Shabab, na hata wakitumwa washindwe na walegee!
   
 3. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tell them tell them Mr. Sitta
   
 4. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli huyu jamaa anajiamini sana na nimempenda sana alikuwa anaongea bila kuuma ulimi wala kujing'ata ng'ata
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anguko la sisiem li dhahiri. Na hizi ndo ishara. Kuwa na makundi mbalimbali ktk chama, mengine yakiweka maslahi ya taifa mbele na mengine yakiweka maslahi yao na marafiki zao, biashara mbele. Sisiem has just set a self-destuctive timed bomb.
  Litalipuka lini is onyone's guess.
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kila mara nasema hapa na narudia, hii serikali imekaa kama imechoka sana na inasubiri kwa hamu nguvu ya umma. Kuna watu ndani ya serikali wanakerwa na vile Chadema wanavyobipu badala ya kupiga
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  thanks 6, go go go!! mko wachache sana ccm mnaoweza kutetea masilahi ya nchi bala ya mafisadi. pambana bila kuogopa!!
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kama yeye mwanaume aje kundini tu.
   
 9. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata mie nimemuona huyu mwanaume akiunguruma ITV. Lakini naona anatwanga maji kwenye kinu tu.
  CCM haibadiliki na haitabadilika ng'ooo. Kaka Gurudumu upo? wape Rev.masanilo?
   
 10. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,780
  Likes Received: 6,114
  Trophy Points: 280
  Huyu sometimes namwona kama mnafiki fulani tu. Rejea kauli zake dhidi ya wapinzani wakati wa kampeni zilizopita.
   
 11. N

  Nyamanoro JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Karibu CDM Six
   
Loading...