Fungu la kukosa!. Huku kutapatapa ni dalili ya mfa maji.
P.
Mkuu Mtoboasiri, wala huko kwa kushitakiana mpaka kwa Mungu, hatutafika!, kila siku nasema humu jf, tena natambulika rasmi kama mfuasi No.1 wa EL, nasema hivi, EL ni "sauti tuu iliyo nyikani ikiyanyoosha mapito yake yeye yuajaye!".
Mwanzo hata mimi nilimtaka EL apitishwe ili atumike kama "pace maker" kwenye mbio za kuelekea Ikulu, 2015!. Kufuatia hali ya afya yake, nikajiridhisha, kumbe hata huko ndani ya CCM, yeye "sauti tuu iliyo nyikani!".
Pasco.
Pasco
Fungu la kukosa!. Huku kutapatapa ni dalili ya mfa maji.
P.
Mkuu Lokissa, lazima tufike mahali humu tuwalazimishe kuukubali ukweli halisi jinsi ulivyo, na sio kulazimishana kwa kutuweka kwenye makundi fulani fulani!.Pasco, Lowassa asipokuwa rais utakuwa tena kundi gani
nadhani wewe kama mwandishi wa habari hutakiwi kusashabikia kundi lolote
kwa msing huo napata mashaka na taaluma yako
Mimi sina usafi. Lakini napinga wanaomtetea sita kwamba ni kiongozi safi.wewe msafi?
Ahsante tusaidie na wengine tujue hayo mauchafu yake na ushahidi, utakuwa unatusaidia sana watanzania.Ila mkuu naomba watanzania tuacheni ushabiki usio na maana tuangalie viongozi watakaotutoa katika changamoto zinazotukabili kwa manufaa ya vizazi vijavyo viongozi ambao ni wa adlifu.Mimi sina usafi. Lakini napinga wanaomtetea sita kwamba ni kiongozi safi.
Ahsante tusaidie na wengine tujue hayo mauchafu yake na ushahidi, utakuwa unatusaidia sana watanzania.Ila mkuu naomba watanzania tuacheni ushabiki usio na maana tuangalie viongozi watakaotutoa katika changamoto zinazotukabili kwa manufaa ya vizazi vijavyo viongozi ambao ni wa adlifu.
sita hana jpya njaa na ulafi wa madaraka unamsumbua tunajua Sitta ndiye ana engneer mkakati wa kumchafua kapuya kisa kapuya kumpeleka lowasa tabora na kukabidhiwa uchief wa wanyamwez sta akaona amezdiwa kete...anasema lowasa katumia bilioni 7...lowasa kwa sku kuptia hisa zake Vodacom anaingza bilioni 1.2 kwa hyo blion 7 ni pesa ya sku 6 ufsad upo wap tatzo sta anajua kutembea na wake za watu tu ameshndwa kutafta pesa kaishia kulalamika. ..shame n u sta acha unafk