mheshimiwa sita we hufai pia kuwa rais,maana unamajungu na ubinafsi!,kwa nn kila siku unamwandama lowasa!??ama unamapungufu??kwa nn usieleze mambi yako??,afu kwenye mialiko ya graduu,ndo majukwaa ya kujibizana siasa??,kwa nn usiite waandishi ukawaambia??,nani alikwambia pale wanataka kuja tofauti zrnu??
Mshtaki kwa Mungu wakati mtakuwa mmempa Urais! Hii ni ajabu! Acha woga, acha kutishia.Pasco, kama kweli wewe ni Mtanzania na unaipenda nchi hii utaomba Lowassa asiwe rais wa nchi hii hata dakika moja. Lakini kama Mwalimu alivyosema "serikali hii (ya kikoloni) isipotusikiliza tutaishitaki kwa malkia, nae asipotusikiliza tutaishitaki Umoja wa Mataifa. Wasipotusikiliza tutashitaki kwa MUNGU".
Lowassa akipata urais Watanzania tutashitaki kwa MUNGU!
Hivi usipotukana huwezi kusomeka?!nahuyo bwana wako unayempigia debe akikosa atafnyaje
Sitta hana ukweli wowote ni mnafiki mkubwa sana wabongo tunatakiwa tumuogope sana.Amejaribu kila njia kupata madaraka makubwa ameshindwa ila mwaka 2015 presha itammaliza maana hataamini macho yake maana ndoto zake na washirika wake za kwenda Ikulu mmoja wao hazitafanikiwa.
Lowasa hata siku moja hataweza kuwa presdor wa hii nchi. Big up Sitta
Kitu ambacho kinanifanya nampenda sana Sitta ni mwanasiasa anaweza kuzungumza anachokiamini bila woga. Gazeti la Tz Daima la leo uk wa 4 linaripoti hivi:
Mh Sitta jana alikuwa anazungumza katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Agape Seminari , Marangu Moshi anasema:
" Nchi imefika pabaya kama viongozi wanaweza kutoa vitisho na tambo za watoto wao kuuza dawa za kulevya huku vyombo vya dola vikishindwa kuchukua hatua". " Nchi imegawanyika makundi ambapo baadhi ya viongozi wamekuwa na kiburi cha kutamba kwamba hawawajibiki kwa vyombo vya kisheria". Sitta alitoa mfano wa Waziri mstasfu ambaye sasa ni mbunge, aliyeripotiwa na vyombo vya habari kumtisha mtoto aliyemtuhumu kwa kumbaka mara mbili alipoitwa kwake kuchukua ada. Alisema polisi hawajachukua hatua hata ya uchunguzi tu na kubaini kwamba Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kuendeshwa hovyo hivyo tu, na kwamba lazima iendeshwe kwa viwango vya maadili vitakavyoleta maendeleo.
Kuhusu Lowassa anasema:
" Watu walianza kujipambanua miaka miwili iliyopita kwa harambee mbalimbali kwa baadhi ya makanisa, misikiti na sehemu nyingine" Hesabu ya fedha hizi kwa kipindi cha miaka miwili ni kiasi cha sh bilioni 7" Anasema mtu huyu na kundi lake wakipewa nchi wataiangamiza na kwamba watapora nchi kwa kasi na hatimaye misingi ya umoja na usawa itabomoka na kulitumbukiza taifa kwenye machafuko.
Big up Mh Sitta kwa kusema ukweli
Fungu la kukosa!. Huku kutapatapa ni dalili ya mfa maji.
P.
Nashukuru sana kwa posti hii mkuu,pia namshukuru sita kwa kuthubutu kutufungua macho watanzania kwa mambo kama hayo.Naomba kuwakumbusha watanzania wenzangu pesa anazotoa Lowassa siyo msaada ni zetu,watu hawa wametuibia sana,wanaendelea kutuibia lakini chondechonde tusiwape nafasi zaidi ya kutuibia,ili kufanikisha hilo ni kutowapa nafasi ya kutuongoza teana.Kitu ambacho kinanifanya nampenda sana Sitta ni mwanasiasa anaweza kuzungumza anachokiamini bila woga. Gazeti la Tz Daima la leo uk wa 4 linaripoti hivi:
Mh Sitta jana alikuwa anazungumza katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Agape Seminari , Marangu Moshi anasema:
" Nchi imefika pabaya kama viongozi wanaweza kutoa vitisho na tambo za watoto wao kuuza dawa za kulevya huku vyombo vya dola vikishindwa kuchukua hatua". " Nchi imegawanyika makundi ambapo baadhi ya viongozi wamekuwa na kiburi cha kutamba kwamba hawawajibiki kwa vyombo vya kisheria". Sitta alitoa mfano wa Waziri mstasfu ambaye sasa ni mbunge, aliyeripotiwa na vyombo vya habari kumtisha mtoto aliyemtuhumu kwa kumbaka mara mbili alipoitwa kwake kuchukua ada. Alisema polisi hawajachukua hatua hata ya uchunguzi tu na kubaini kwamba Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kuendeshwa hovyo hivyo tu, na kwamba lazima iendeshwe kwa viwango vya maadili vitakavyoleta maendeleo.
Kuhusu Lowassa anasema:
" Watu walianza kujipambanua miaka miwili iliyopita kwa harambee mbalimbali kwa baadhi ya makanisa, misikiti na sehemu nyingine" Hesabu ya fedha hizi kwa kipindi cha miaka miwili ni kiasi cha sh bilioni 7" Anasema mtu huyu na kundi lake wakipewa nchi wataiangamiza na kwamba watapora nchi kwa kasi na hatimaye misingi ya umoja na usawa itabomoka na kulitumbukiza taifa kwenye machafuko.
Big up Mh Sitta kwa kusema ukweli
Kitu ambacho kinanifanya nampenda sana Sitta ni mwanasiasa anaweza kuzungumza anachokiamini bila woga. Gazeti la Tz Daima la leo uk wa 4 linaripoti hivi:
Mh Sitta jana alikuwa anazungumza katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Agape Seminari , Marangu Moshi anasema:
" Nchi imefika pabaya kama viongozi wanaweza kutoa vitisho na tambo za watoto wao kuuza dawa za kulevya huku vyombo vya dola vikishindwa kuchukua hatua". " Nchi imegawanyika makundi ambapo baadhi ya viongozi wamekuwa na kiburi cha kutamba kwamba hawawajibiki kwa vyombo vya kisheria". Sitta alitoa mfano wa Waziri mstasfu ambaye sasa ni mbunge, aliyeripotiwa na vyombo vya habari kumtisha mtoto aliyemtuhumu kwa kumbaka mara mbili alipoitwa kwake kuchukua ada. Alisema polisi hawajachukua hatua hata ya uchunguzi tu na kubaini kwamba Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kuendeshwa hovyo hivyo tu, na kwamba lazima iendeshwe kwa viwango vya maadili vitakavyoleta maendeleo.
Kuhusu Lowassa anasema:
" Watu walianza kujipambanua miaka miwili iliyopita kwa harambee mbalimbali kwa baadhi ya makanisa, misikiti na sehemu nyingine" Hesabu ya fedha hizi kwa kipindi cha miaka miwili ni kiasi cha sh bilioni 7" Anasema mtu huyu na kundi lake wakipewa nchi wataiangamiza na kwamba watapora nchi kwa kasi na hatimaye misingi ya umoja na usawa itabomoka na kulitumbukiza taifa kwenye machafuko.
Big up Mh Sitta kwa kusema ukweli
wewe msafi?Hata huyo sitta hana usafi wowote. Muulize Dr.Slaa kuhusu sita. Utalewa bila kunywa.
Walewale njaa zitawaua, He might be potential to you, but not to Tanzanians who do really love this country .Eeh Mungu tusaidie,yanayoonekana tu hatuwezi kuona yasioonekana je?Maneno kama haya aliwahi kusema mzee mmoja alikuwa mkuu wa mkoa fulani hapa Tanzania eti hatuwezi kumpa nchi hii "mhuni" akidhani kwamba chaguo lake wakati wa mchakato wa kupata atakaye peperusha bendela ya chama chake ndiye atapitishwa. Mwisho wa siku yule aliyemuita mhuni ndo akapitishwa na chama na hatimaye akawa rais! Yule mzee yuko juu ya paa mpaka leo! Kwa nini Lowassa asiwe rais? He is a potential presidential candidate!
Saa ya ukombozi nisasa na Mungu yuko upande wetu,waliyofanya yanatosha upinzani ndiyo dawa tuone na wengine wataisaidia vipi TZ,CCM mika 50 ya uhuru baada ya kuendelea tumerudi nyuma hivyo hawana jipya.Sijui kwanimi sina mashaka na Rais kutoka upinzani 2015,CCM wenyewe kwa kujua au kutokujua au kwa mapenzi ya Mungu juu ya Nchi hii wataparanganyika na na kauli zao za mwisho itakuwa "LIWALO NA LIWE,BORA TUKOSE WOTE" Mzee Sitta,Bernad Membe.....hawa hawawezi kukubali Lowassa awe mgombea wa CCM, jipeni moyo wote munaoitakia Nchi hii mema kwani ukombozi u karibu.
Walewale njaa zitawaua, He might be potential to you, but not to Tanzanians who do really love this country .Eeh Mungu tusaidie,yanayoonekana tu hatuwezi kuona yasioonekana je?
Tanzania ni nchi iliyojaa surprise, surprise katika uwanja wa kisiasa.So kwa sifa ulizotaja ni na kuangalia usoni basi ni nani anafaa kwa maoni yako?