Yaani jambo limetokea sijui miezi kadhaa ndio analaani leo?
He he he he, ama kweli hii ni kasi mpya
ndo wanajua leo wabunge wa ccm wote walevi
Mbona ni ukweli mtupu???asema jambo hilo si la kiuungwana wala si la kiurafiki na ujiran mwema.linaweza chochea mgogoro
asema jambo hilo si la kiuungwana wala si la kiurafiki na ujiran mwema.linaweza chochea mgogoro
asema jambo hilo si la kiuungwana wala si la kiurafiki na ujiran mwema.linaweza chochea mgogoro
Bunge la Tanzania liwe la hovyo au liwe makini sana, bado, si sahihi kabisa kwa nchi nyingine kuchora katuni juu ya yanayoondelea kwenye nchi nyingine -huru. It is up to Tanzanians to say whatever they like about their country. Kenya, wana tabia ya kuinigilia affairs ambazo haziwahusu, na kwa hakika katuni hii inakwenda kinyume na staha za ujirani mwema.
Ni lini Tanzania ilichora katuni kuhusu bunge la Kenya? Hivi ni kweli bunge lao halina vituko? Mzee Sitta yuko sahihi. Kenya should mind their own business.
Haya, aiseme na hiiasema jambo hilo si la kiuungwana wala si la kiurafiki na ujiran mwema.linaweza chochea mgogoro
Sasa hapa anapinga nini wakati ndio hali halisi.Yeye alitakiwa kushukuru kwa hao wengine kutokuandikwa majina yao
hSitta tatizo lipo wapi? Je ni Uongo? ujirani unaharibika
vipi? ndio unataka kugombea urais?
![]()
Sasa RAM yake MB 25 unatarajia arespond faster?!!!
asema jambo hilo si la kiuungwana wala si la kiurafiki na ujiran mwema.linaweza chochea mgogoro
kama brains zako hazijafungwa kwa kamba ngumu na nene basi utaweza kutoka ndani ya box na kujua kuwa dunia ni kubwa zaidi ya unachoona wewe. Unataka kusema kuwa ukifika Namanga au Holili macho yako hayaruhusiwi kuona mbali ya kuvuka mpaka!??? Kwanza huyu sio Mkenya kama unavyodhani na ana profession yake tofauti na vilaza wengi unaojaribu kuwatetea.Bunge la Tanzania liwe la hovyo au liwe makini sana, bado, si sahihi kabisa kwa nchi nyingine kuchora katuni juu ya yanayoondelea kwenye nchi nyingine -huru. It is up to Tanzanians to say whatever they like about their country. Kenya, wana tabia ya kuinigilia affairs ambazo haziwahusu, na kwa hakika katuni hii inakwenda kinyume na staha za ujirani mwema.
Ni lini Tanzania ilichora katuni kuhusu bunge la Kenya? Hivi ni kweli bunge lao halina vituko? Mzee Sitta yuko sahihi. Kenya should mind their own business.
Mchoraji ni MTANZANIA akiitwa GODFREY MWAMPEMBA na analindwa na katiba kufanya hivyo tatizo liko wapi?
[/QUeOTE]![]()
Hata mimi sioni kosa liko wapi