KIKAO CHA MAWAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI: TANZANIA NA BURUNDI WAWASHA MOTO
Kulikuwa na kutokubaliana katika Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki la Mawaziri Alhamisi juu ya jinsi Uganda, Kenya na Rwanda walikuwa kuharakisha mambo katika kuelekea shirikisho kisiasa, umoja fedha na miradi mingine, na kuacha nje wengine.
Mbali na mambo mengine Waziri Sita alihoji uhalali wa Rwanda kumuachia uenyekiti wa jumuia ya afrika mashariki Kenya
"The charter says the chair is on one year rotational basis. As far as we are concerned, Rwanda is the next chair. The rest of us don't know about this arrangement of Kenya taking over," he charged.
SOURCE: Tanzania, Burundi concerned with ‘isolation' in bloc
My take: Hivi kwanini TANZANIA TUNAKUWA KAMA WAPINZANI NDANI YA JUMUIA
Inawezekana hakusikia kauli ya Kenyatta jana kasema hataki na hapendi kuongelea haya mambo ya kipuuzi ya kuambiwa wanawatenga baadhi ya nchi wanachama wa eac. Niwazi kabisa wanaoongelea mambo haya kwa mtazamo wake anawaona ni wapuuzi tu.

Definitely hakuna mpuuzi katika suala hili na hatuwezi kukubali viongozi wetu waitwe wapuuzi. Na anayedhani viongozi wetu ni wapuuzi, kuna uwezekano mkubwa, ikawa yeye ndiye mpuuzi! Kiongozi wa ngazi ya juu kama ya Rais anatakiwa apime uzito wa kauli zake, na hasa kama zinawahusu viongozi wa nchi nyingine huru kama yake!! Mimi kama raia wa kawaida wa Tanzania, inaniuma sana kiongozi wangu mkuu akiitwa mpuuzi, tena na kiongozi wa nchi nyingine, regardless of my domestic political affiliation.

Till when !!!!!!!!!!! tutaendelea kuwa wapuuzi jamani,Kenyatta anaposema hivyo anaamanisha hayo,kwa kuwa anafahamu KISWAHILI kwa usahihi kabisa kuliko baba zake [Kenyatta Baba, Moi, na Kibaki] tufike sehemu nasi tujue matendo na maneno ya wenzetu ndio maana yaho hasa kwetu sisi.Na tunapochukua hatua nasi za ukweli tusiludi nyuma!!!
Hapa juzi tulipoongea kama Nchi kupitia Rais basi acha wakimbie kuja kwetu kujishaua nasi tunalidhika kuwa kweli awa ni wenza tunabweteka tena wanaludi,yani kwa watu wazima kanakuwa kama kamchezo ka Babu na mjukuuu wake.Yani wanatamka vitu vya kikweli babu akija juu mjukuu anawai kusema nilikuwa natania tu babu!!Ndio maana wengine tuliliona hili zamani tukasema USALAMA WA TAIFA hili kwenye EAST AFRICA uzingatiwe.
Huu mcheo mchezo ufike mwisho tujue kama TAIFA KWELI "THEIR EITHER WITH US OR NOT".Hii Diplomasia wakati wenzenu hawatumii hiyo diplomasia yao kwenye kauri na matendo yao!!!!!!Mwingine anasema I will hit you, mwingine ansema Upuuzi" sasa sie tumekali diplomasia till WHEN?
Sitta is a disrupter with a hidden agenda. Sitta should be thrown out akileta huo "upuz". Jubilee Kusema na Kutenda.
Tafadhali acha kurahisisha mambo namna hiyo! Anachohoji Waziri Sitta ni ukweli na Mtanzania wa kweli unatakiwa kuiona mantiki. Hatuwezi kuendesha mambo muhimu ya EAC kienyeji kienyeji tu namna hiyo!! Nina hakika ingelikuwa mpango huo wa kubadilishana ungeihusu Tanzania, haraka sana tungeambiwa sisi tunaleta "uswahili" katika serious issues!!! Kama Kagame hataki/amesusa uenyekiti, suala hilo linatakiwa lipelekwe katika vikao halali vya EAC ili lijadiliwe na uamuzi utolewe kwa consensus ya wanajumuiya wote sio wanajumuiya wawili au watatu wakae uchochoroni kisha waamue kwa niaba ya wote--hatukubali--na hakuna "upinzani" hapa, this is the reality of the matter!!!
Here is mr./ms. "simplemind" in the real sense!