kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Una pointi bora utulie tuu.Samuel sita kwa kulazimisha katiba uliyoagizwa kuipitisha na watawala wako,umejichimbia kaburi ya kuagana na siasa za tanzania kwani watanzania tulio wengi na wapiga kura wako tunakuogopa kama ukoma.kwaheri kutoka ktk siasa.
Haya kaja mtaani utamfanyaje?Namsubiri mtaani.........
Ngoma ni kama ebola bila hata ya laana inafanya kaziHuyo dingi kwa laana ya Watanzania soon hiyo ngoma yake itamuondoa tu.
Sitta alishajua ndoto yake ya urais kwisha. Ulaaniwe.
6 ulaaniwe.
Alaaniwe?alaaniwe yeye na wenzake wote walioshirika kutufanyia dhihaka watanzani
Atatoka akimaliza kazi iliyompeleka BMK6 atoke tu.
Ukristo na maaskofu ni vitu kama vitu vingine tena vitu hatari sana kwa maisha ya wanaoishi katika ulimwengu huru.Kawatukana maaskofu na ukristo imesikitisha sana hali si nzuri huko tuendako nchi hii.
UKAWA wameondoka wenyewe hakuna aliyewafukuza.Mbaguzi ni sita kuwabagua ukawa
He is Popular already no need for more popularity strategiesTatizo la sita alitaka cheap popularity, zaidi ameshindwa kutambua kuwa kila kukicha ni siku nyingine.