usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
Kwahiyo tukubali uendesha taifa kwa ungese wa Sitta na mabwege wenzake?
usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
Wewe mbona mlimwagia musa tesha tindikali na wenzako akina kileo?
Hicho king'ang'anizi ndizo kitanzi chao katika uchaguzi wa 2015.
Hiyo akidi imepatikanaje?.
Not yet Uhuru - Jaramogi Oginga Odinga
tumeonaaSamuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.
Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.
Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.
Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.
Hivyo ndivyo ilivyo! Akidi kwa upande wa Zanzibar imepatikana na ilivyopatikana anajua mwenyewe Sitta!
Yeye amejitetea kuwa "kuupitisha huu mchakato kwa gharama yoyote ile ni kuliokoa taifa na ni mpango wa Mungu"
Hii habari pia nimeisikia kwenye gazeti la Raia Tanzania la leo alhamisi.
Kuna tetesi kuwa huenda Kikwete akaingilia kati kushauri usitishwaji wa upigaji kura ili hali iishie hapa ilikofikia ingawa ni tetesi tu!
Hii ni rasimu na si katiba halisi. Kutokana na mambo yaliyojitokeza wazi na rasimu hiyo kupingwa kila upande, ni vigumu kwa rasimu hiyo kukubaliwa na kupitishwa kuwa katiba ya Tanzania na wananchi. Wanachokifanya sasa Dodoma ni kupoteza pesa za wananchi kwani katiba haitapatikana kutoka kwenye rasimu hii ya ccm.
usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
Jana usiku Sitta alifanya vituko kama chizi yani hadi nikawa namshangaa!! Kwa kweli Sitta kwa nilivyomuona usiku ule "anavuta bangi"
Kwa akili ya 6 anaweza kufanya haya lakn wajue twawasubiri huku mtaaani tuwakimbize na katiba ya ya CCM
mkuu kama wameweza kuchakachua mchana kweupe namna hii watashindwa vp kuchakachua kura za maoni?Hii ni rasimu na si katiba halisi. Kutokana na mambo yaliyojitokeza wazi na rasimu hiyo kupingwa kila upande, ni vigumu kwa rasimu hiyo kukubaliwa na kupitishwa kuwa katiba ya Tanzania na wananchi. Wanachokifanya sasa Dodoma ni kupoteza pesa za wananchi kwani katiba haitapatikana kutoka kwenye rasimu hii ya ccm.