omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,700
Ukifuatilia haya matukio kuanzia hatua za awali kabisa zilizopelekea Dr. Mvungi (R.I.P) kupoteza maisha mpaka UKAWA kutoka nje ya bunge, unaona sababu zilizomweka Mandela gerezani kwa mika 27 ...na kweli kabla ya mwisho wa uhai wake sheria za nchi ziliridhia kuwa usawa wa binadamu ndio msingi wa maisha ya Afrika ya Kusini.Wananchi wataburuzwa tu.
Watanzania wenye nia njema wapo japo ni wachache kutokana na asli yetu inayotunyima tulio wengi uelewa wa mambo.