Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Samuel sita kwa kulazimisha katiba uliyoagizwa kuipitisha na watawala wako,umejichimbia kaburi ya kuagana na siasa za tanzania kwani watanzania tulio wengi na wapiga kura wako tunakuogopa kama ukoma.kwaheri kutoka ktk siasa.
Dua la kuku halimpati Mwewe-Sitta