Sitta afanya maajabu ya karne

Sitta afanya maajabu ya karne

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,279
Reaction score
38,855
Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.

Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.

Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.

Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.

Hivyo ndivyo ilivyo! Akidi kwa upande wa Zanzibar imepatikana na ilivyopatikana anajua mwenyewe Sitta!

Yeye amejitetea kuwa "kuupitisha huu mchakato kwa gharama yoyote ile ni kuliokoa taifa na ni mpango wa Mungu"

Hii habari pia nimeisikia kwenye gazeti la Raia Tanzania la leo alhamisi.

Kuna tetesi kuwa huenda Kikwete akaingilia kati kushauri usitishwaji wa upigaji kura ili hali iishie hapa ilikofikia ingawa ni tetesi tu!
 
Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.

Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.

Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.

Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.

Nitaendelea kuwajuza zaidi ila 'hali si shwari'

usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
 
...huyu mzee anadharau mbaya sana,tutaona mwisho wake...
 
Mkuu pamoja na kwamba mleta mada hajatoa evidence yeyote, mimi naamini inaweza ikawa kweli !. Sababu ni kwamba sasa hivi CCM wana option moja tu ya kiistaarabu - kutangaza kwamba mchakato umeshindikana kwa sababu akidi ya Zanzibar haipo !

Hivi unafikiri wapo tayari kutangaza hivyo ? Na kama hawako tayari kutangaza hivyo, definetely hicho anachokisema mtoa mada kinaweza kikawa kweli kabisa !.

Hali ni mbaya sana kwa CCM sasa hivi !

usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
 
Waache waendelee na katiba yao ya CCM, lakini tunajua wazi kuwa katiba ya Watanzania bado haijapatikana.
 
Hicho king'ang'anizi ndizo kitanzi chao katika uchaguzi wa 2015.
 
Bavicha kumejaa vijana wajinga kweli huyu dogo naye ni miongoni sitta kawafanya hamuwezi hata kulala vizuri kutwa kucha mnamuwaza pole sana taifa hili siyo la wajinga kama bavicha.
 
Waache waendelee na katiba yao ya CCM, lakini tunajua wazi kuwa katiba ya Watanzania bado haijapatikana.
Ungeuza mandazi wenzako wauze karanga mmepigwa kotekote pakutokea hakuna safari ndiyo hiyo imeanza na katiba mpya iko mbele yetu.
 
Mkuu pamoja na kwamba mleta mada hajatoa evidence yeyote, mimi naamini inaweza ikawa kweli !. Sababu ni kwamba sasa hivi CCM wana option moja tu ya kiistaarabu - kutangaza kwamba mchakato umeshindikana kwa sababu akidi ya Zanzibar haipo !

Hivi unafikiri wapo tayari kutangaza hivyo ? Na kama hawako tayari kutangaza hivyo, definetely hicho anachokisema mtoa mada kinaweza kikawa kweli kabisa !.

Hali ni mbaya sana kwa CCM sasa hivi !
Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.
 
Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.

Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.

Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.

Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.

Nitaendelea kuwajuza zaidi ila 'hali si shwari'

Si ajabu kwa Sitta kufanya hivi, maana alikwisha kusema mapema,"Dua la kuku halimpati mwewe, mambo yanakwenda vizuri." Hata hivyo akifanya hivyo, atakuwa ameruka mkojo na kukanyaga kinyesi. Ni heri fedheha ya kukiri matokeo, kuliko fedheha itakayofuata baada ya kulazimisha matokeo!!!!!
 
Hivi nyinyi maCCM, mnawezaje kuwa wa-pumba-vu kiasi hiki hata kitu ambacho ni cha rangi nyeupe kwa kila mtu, nyie mnang'ang'ania kwamba ni cha rangi nyeusi ?!

Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.
 
Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.

Hiyo akidi imepatikanaje?.
 
Sitta atatangaza kama katiba imepita lkn anawaondoa rasmi CCM Ikulu Zanzibar!Hata CCM wanalijua hili
 
Hapa wa kututoa ni wazenji waliopiga kura ya hapana kwa siri, kama 6 atachakachua, wainuke wapaaze sauti zao na kusema kweli kwamba walipiga hapana, ilikuwaje ikawa ndiyo? Hapo ndo atakuwa maeshikwa penyewe!
Lakini wakinyamaza watakuwa wamejijengea uadui mkubwa huko Zenji, kwani watajumuishwa ndani ya kundi la wasaliti wa ZNZ kwa kadri ya madai yao.
 
Hii ni rasimu na si katiba halisi. Kutokana na mambo yaliyojitokeza wazi na rasimu hiyo kupingwa kila upande, ni vigumu kwa rasimu hiyo kukubaliwa na kupitishwa kuwa katiba ya Tanzania na wananchi. Wanachokifanya sasa Dodoma ni kupoteza pesa za wananchi kwani katiba haitapatikana kutoka kwenye rasimu hii ya ccm.
 
Back
Top Bottom