Sitopenda tena labda dunia iwe pembe nne.

Duh Form four?? Hapo kuna uzinzi tu. Jaribu bahati yako Kijana wangu
 
wewe shukuru kuwa hakuelewi! uking'ang'anizi huu kuna mwenzake tumemzika leo; alimtongoza binti mmoja ambae wazazi wake ni waathirika, binti hakumwelewa jamaa licha ya kupiga nae stori vizuri tu. Jamaa kang'ang'ana tu toka mwezi wa 5 hadi demu kaamua kumpa juzi juzi siku ya gwaride la kimya kimya, na manjonjo ya mtanzania mwenzetu komando bonge, jamaa akala mzigo huku wengine tumekodoa kodo kwenye tv kumcheki komando wetu wa mwaka wa maazisho ya miaka 55 ya uhuru wa Tanganyika; katika kula mzigo huko na kurejea nyumbani jamaa kapokea sms toka kwa demu kuwa demu ni mwathirika hivyo anamuomba msamaha kwa hilo 'mchizi', kusoma tu hiyo text jamaa akaona siku zake za kuishi ni nyingi sana hivyo kazikatisha kwa makusudi usiku akiwa chumbani mwake amelala siku hiyo ya komando bonge, na leo ndo imeruhusiwa azikwe.
Take care especially unapokuwa unajua wazazi ni waathirika, pia kaa mbali na vitoto vya mwishoni mwishoni kuzaliwa ktk familia kwani vingi vimezaliwa nao
na wababa wengine wanatafuna binti zao kumbe wameathirika
 
67e8736d0a0f87ff06b41600832240e3.jpg
for every reaction there is equal and opposite reaction,
 
Kamwe usijidanganye utaishi single milele unadhani haya maumbile yaliumbwa kama picha?

Wakati wako sahihi au mtu sahihi uliepagwa nae si huyo

Relax wanawake wako weeeengi utapata mwengine Na utampenda hadi ujiulize imekuaje

Kama hutakiwi usiyalazimishe mapenzi ukajutia

Huwezi kujua unaepushwa Na nn mbele
Tena mwanaume na hisia zao za uamsho sekunde tuu hahahahha ana utani huyu mapenzi yanahama bana
 
Habarini wana-JF wenzangu!!!
Kwanza namshukueu Manani kabla ya yote.
Na bila kuchelewa Naenda Kwenye mada yangu.

Kuna binti nampenda sana yaani sana mpaka naumwa.
Na binti mwenywe mweupe,sura nzuri yaani penye watu 10 lazima watu Tisa wageuze shingo kumtazama.
Yaani missi zaidi ya Diana Lukumai wa Tanzania.

Huyu Binti nilianza kumtongoza tangu mwezi wa tatu hadi mwezi huu kumi na 2.
Ila hanielewi.
KUMBUKA:BINTI NI MUHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA HUU-2016
Ila wazazi wake ni Waathirika la Ugonjwa wa kunywa dawa kila siku na masharti ya ugonjwa lazima umeze kidonge kila siku.
Isipikuwa yeye na mdogo wake ni wazima lakini sina hakika.

Huyu binti akiwa na shida hunifuata na akiwa na rafiki yangu ambaye ananisaidia kumshawishi awe na Mimi huwa ananiambia "amekubali" ila nikiwa na yeye wala haoneshi ile hali ya kunipenda.
Sitaki niwachoshe kwa maelezo mengi mpaka basi kikubwa binti nampenda yeye hanipendi na nimeonesha kila dalili ya kumpenda hanielewi je nifanyeje.

Bora niwe pekee yangu.
0d5f473e61ce1b2e36da322e46d5fe5e.jpg
[/QUOTtE]
...Too childish !!
 
Haya ni maneno tu.
Binafsi nilishaapa na kuwa na msimamo mkali kuwa sitopenda tena milele lakini sasa hivi nipo crazy in love hadi nimesahau yote.
Never say never, Mungu na akupe wa kufanana nae...
Amen.
 
hakukuwa na umuhimu wa kutangaza hali za afya ya wazazi wake, pia tambua kumpenda huyo binti haina ulazima wa yeye kukupenda pia na la mwisho kwako acha tabia ya majivuno.
 
Siku hizi sichangii nisje nikakamatwa, ila huu uandishi wako mbovu umenishawishi nikwambie, kajiendeleze kusoma hata QT yaani form one mpaka form four miaka miwili tu, itakusaidia.
 
Unaumia kutokupendwa,tafta mkwanja atakuja mwenyewe tu,dawa ya mapenzi ni pesa kiboko yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom