Sitomsahau Rais Magufuli, machozi hutiririka ninapowaona aliowaamini wakimsaliti waziwazi

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,579
Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata?

Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila nikimuona na wale maadui wa baba yangu machozi yaananza kutiririka, nitalia mpaka lini?
 
Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata?
Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu,kila nikimuona na wale maadui wa baba yangu machozi yaananza kutiririka,nitalia mpaka lini?
Amini Mungu pekee gentleman,
kuamini binadamu ni ushirikina.

halafu acha utakatifu wa kinafiki,
eti ng'we ng'we ng'we machozi yanaanza kutiririka.🐒
 
Ni mzazi wako huyo?

Mwisho who is Magufuli kwamba ndio muhuri wa kusema huyu safi huyo hapana? Wahi kaburini kalie vizuri hapo hukalia Bado.
 
Kwa CCM hii Kila atayeondoka au kuondoshwa ataonekana afadhali kuliko aliyeko, just imagine Ridhiwani akija kuwa Rais itakuwaje?makonda je,vipi kuhusu January?nani hapo kati Yao atakuwa muadilifu?
Jibu ni kwamba kupitia CCM hii hatutapata kiongozi Bora wa kutuvusha hapa tulipo tufikirie nje ya CCM
 
Alikosea sana katika uchaguzi wake wa...and this might have cost him his life.

Watu na rimoti zao...na ni wema sana kiasi kwamba hawafi na hawatakaa wafe ng'o!

IMG-20250813-WA0013.jpg
 
Kwa CCM hii Kila atayeondoka au kuondoshwa ataonekana afadhali kuliko aliyeko, just imagine Ridhiwani akija kuwa Rais itakuwaje?makonda je,vipi kuhusu January?nani hapo kati Yao atakuwa muadilifu?
Jibu ni kwamba kupitia CCM hii hatutapata kiongozi Bora wa kutuvusha hapa tulipo tufikirie nje ya CCM
Mwigulu je?
 
Amini Mungu pekee gentleman,
kuamini binadamu ni ushirikina.

halafu acha utakatifu wa kinafiki,
eti ng'we ng'we ng'we machozi yanaanza kutiririka.🐒
Wewe tunakujua uko CCM kuwaumiza wanyonge,Rais wa matajiri waliyowekewa puto tumboni
 
Ni mzazi wako huyo?

Mwisho who is Magufuli kwamba ndio muhuri wa kusema huyu safi huyo hapana? Wahi kaburini kalie vizuri hapo hukalia Bado.
Inasikitisha sana nyie ndiye mnayeisifia CCM ya sasa r.i.p Magufuli
 
Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata?
Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu,kila nikimuona na wale maadui wa baba yangu machozi yaananza kutiririka,nitalia mpaka lini?
Mke wake halii we unalia? Alikuwa anakupatia nini kumzidi mke wake? We km si mwehu basi ni taahira. Jitundike utamfikia kwa wepesi
 
Wewe tunakujua uko CCM kuwaumiza wanyonge,Rais wa matajiri waliyowekewa puto tumboni
uache unafiki na upotoshaji tena gentleman.

halafu pia acha ushirikina wa kuamini bindamu, sawa gentleman?🐒
 
Mke wake halii we unalia? Alikuwa anakupatia nini kumzidi mke wake? We km si mwehu basi ni taahira. Jitundike utamfikia kwa wepesi
Hongereni kama mlivyofurahi siku zile alipokufa rais wa wannyonge ndiyo leo mnavyofurahia kuuza rasilimali za inchi
 
Back
Top Bottom