Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani


Kwani unatoaga shilingi ngapi? Ukiacha kutoa watatoa wengine kwani vyamadhabauni.uliwa na wamadhabauni
 
Mungu hataabudiwa tu Roma, KKK , agalikana. Mungu ni Roho, wamwabuduo imewapasa kumwabudu ktk Roho na kweli, we endelea kutoa sad aka; wala usife moyo.
Waafrika tuna imani zetu, nzuri tu. Hata Wahindi, Wachina nao wanaimani zao. Tatizo pana imani zinazotumia misuli mno kujitangaza.
 
wewe ndugu kabla huja fanya uamuzi wowote chukua Biblia ako soma MWANZO hadi UFUNUO utafunuliwa yakupasayo kufanya! kanisa haliwezi kuwa la Tz tu halafu mtu unasema unamwabudu Mungu wa Mbingu na dunia! pia AMRI za Mungu ni tabia ya Mungu, tafuta kanisa ambalo lina sifa hizi uende kusalimisha roho yako
1.Muongozo wake ni BIBLIA TU!
2.Ina hubiri AMRI za Mungu kama alivyo pewa Musa nabii, Kutoka 20:1-17.
3. Ina hubiri ujumbe wa malaika wa tatu (Ufunuo)
4.Iko dunia yote
5.Inafanya Ubatizo wa Biblia (kama alivyo batizwa Yesu)
6.Ina tunza Sabato ya Mungu ya siku ya saba.
7.Ina hubiri Biblia kama ilivyo bila kuongeza mapokeo ya wanadamu.

Ukipata kanisa hilo: UTABURUDIKA NAFSI YAKO nawe utakuwa salama mikononi mwa Kristo.
 
Hili somo la sadaka ni pana sana usipoangalia usipokua makini utampa sadaka asie hitaji sadaka yako ila nijuavyo mm unapoona kifungu kimeandikwa toa inamaana Mungu anawalazimisha mtoe wote bila kujali wewe ni nan manake hata mtumishi anatakiwa atoe halafu mkisha toa inaangaliwa nan wakupewa hapa moja kwa moja inaenda kwa wasiojiweza na kuijenga nyumba ya Mungu
 
Hilo kanisa lako litakua ni ministry lakini kwa makanisa ambayo yanamfumo mzuri nchungaji anapangiwa mshahara au posho kama wanavyo sema.

Umesha ambiwa kanisa ni mali yake unashangaa nini? Anakuka vyake shida zako suo zake
 
Nenda Jehovah witness, utafurahia sadaka yako inavyofanya kazi jamaa wanafanya kazi kubwa sana ya kuchapa majarida kwa gharama kubwa lkn wanagawa bure na kutumia muda mwingi kuhubiri sehemu mbalimbali
 
Haya makanisa yanayojiotea hawatangazi sadaka hata uwashikie bisibisi
 
Sadaka za fedha zinawapa jeuri hawa jamaa!dawa yao wapewe vitu zaidi,tuone km watavipeleka kwa wahitaji au wataenda kuviuza sokoni.
 
Hayo makanisa y mtu mmoja unategeneat afanyie nini hela zenu. Kwanza hakuna kutangaza mapato na matumizi
Makanisa yanasajiliwa kama taasisi. Ili usajili kama taasisi ni lazima ufuate na kuzingatia vigezo na masharti likiwemo sharti la kuwa na bodi ya wadhamini. Kimsingi hakuna kanisa la mtu mmoja.

Kaka ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…