Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.
Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.
Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.
Asanteni nawatikia EID njema

Cc chekibobu gwajimaUnashangaa bmw na Brevis,watu wana ndege huko

Falsafa ya makanisa yote ya mbao na maplastic ni moja tu: DINI DEAL. Period!Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.
Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.
Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.
Asanteni nawatikia EID njema
safi sanafungu langu la kumi nitaenda kulitoa kwa mayatima na wagonjwa hospital lakini sio kanisani
mkuu nitakuja tu katoliki nimeshajifunza
duh iko kazi swali kwani umelazimishwa kutoa sadaka?Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.
Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.
Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.
Asanteni nawatikia EID njema
sisi huku hayatuhusu?! nakutoa ni moyo wa MTU! mbona mifisadi huwa inatoa mabilioni ya pesa na hawasemi?! nahisi hiyo zaka yako hata buku 2000 haifiki lakini cha ajabu unapanik utadhani unatoa million kadhaa! shame as you!Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.
Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.
Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.
Asanteni nawatikia EID njema
Mungu atakuzidishia kwa kuwajali wale wenye mahitaji ya ulazima!fungu langu la kumi nitaenda kulitoa kwa mayatima na wagonjwa hospital lakini sio kanisani
Shule zenyewe ndio zile zenye Ada kubwa? and then wanafunzi wanachujwa sana...Wewe unaenda kutoa sadaka Makanisa ya Kilokole unategemea nini..??
Makanisa yanayojielewa kama Katoliki, KKKT na Anglican ni mahala pa kutoa sadaka...Maana huko Mashule, vituo vya watoto yatima, hospitali zinajengwa..
Ni mfu ndio hata kanisa linakufa kwa sababu limeanza kumomonyoka toka pale Vatican city tena St. Peter's Cathedral. Ulawiti wa watoto unaanzia juu lakini walifumbia macho kitu ambacho kimezikumba parokia nyingi hata huku Afrika; embezzlement nayo imekuwa ni ya kawaida wale waliovaa kofia ya utawa ndo wamekuwa chanzo cha haya yote-mapadri wanagombania matoleo, hela na mazao ya kuwategemeza (mapadri&masista) ndo maana kondoo nao wameona waanze kujipigia pesa maana hata hofu ya Mungu watu imeisha.Basi hiyo Parokia Kamati Tendaji na Baraza la Walei ni mfu..
Amen Amen, KKKT Kuna mahospitali, mashule, Vituo vya Watoto, Hivi watu wanajua Kweli kuwa Shule ya Walemavu wa Akili iliyoko Korogwe inamilikiwa na Kanisa? Au Kituo cha Irente cha Watoto yatima na ile shule ya Wasiiona na ile ya Watoto wenye mtindio wa ubongo? Yaani hizi huduma ni ngumu sana kuziendesha kwa hali ya kawaida. Aende kutoa sadaka huko Aache ubahili wakeWewe unaenda kutoa sadaka Makanisa ya Kilokole unategemea nini..??
Makanisa yanayojielewa kama Katoliki, KKKT na Anglican ni mahala pa kutoa sadaka...Maana huko Mashule, vituo vya watoto yatima, hospitali zinajengwa..
Aiseeee !!!!Sisi msikiti wetu unasoma kila Mwez na
Mnachanga kiasi gani? Juilize na tafakari. Anatumia mgongo wa Kanisa kupata misaada, siyo sadaka zenu.Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.