Sitokuja nisahau hii kamwee!

Watu watakuponda na kukukejeli sana, lakini nikiwa kama mwanaume niliyekamilika kihisia wala siwezi kukujaji vibaya, ni kawaida sana kwa sisi wanaume kufanya ulichofanay, probably 70% ya midume iliyocomment humu ndani weshafanyiwa hizo mambo
 
Wanaishaje wakati wewe upo
 
wanawake wa hivyo hawawezi isha wakikutana na mwanaume kama ww wa kujifanya jack pemba, by the way tangazo lako tumelielewa jiandae na pm kujaa
 
Tangazo hili limekuja love connect, wataalamu tumeshajua jamaa ana maanisha nini.
-kwa kifupi hii ni fursa kwa wanaopenda kuhongwa pesa
 
hapana aisee sizitaki acha wachangamkie wengine
Ha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi ni wewe kweli shunie, shunie huyu huyu, shunie umeandikiwa hii post.
Poa lakini, fakalava anakuhonga kama shs ngapi
 
Ha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi ni wewe kweli shunie, shunie huyu huyu, shunie umeandikiwa hii post.
Poa lakini, fakalava anakuhonga kama shs ngapi
shunie mimi ndio nimeandika, fakalava ananihonga hela yoyte ninayomwambia! halaf supermarket ngoja nikwambie kitu watu wanaojinadi wana hela au wanahonga hamna kitu ni maneno tu ata usafiri haulipiwi.
 
Kama mimi tu, maneno mengi kumbe dume suruali[emoji1]
 
Aisee mangi inamaana ulikuwa unampa bure..!
Mi hata kama ni mpenzi wangu nikikupa hela maana yake nakukopesha
Utanipa tu hela bora tuachane lakini hela yangu unipe
Nilitaka kuachana na mpenzi wangu kisa hela
Alinikopa kumdai ikawa ananizungusha aisee nilimganda
Mpaka akanipa halafu akajidai kunikasirikia na mimi nikanyamaza kimya
Mwisho wa siku kakarudi tena
 
we kiboko [emoji28]
 
Na ubarikiwe sana, endelea kutoa tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…