the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 218
Tena bwege mtozeniWewe ni BWEGE.
Tena bwege haswa[emoji28] [emoji28] [emoji28]Wewe ni BWEGE.
Sidhani kama jamaa ni mwanaume... atakuwa mvulana huyo...Hawawez kuisha kama wanaume wa aina yako wataendelea kuwepo
Hiz story zako unatunga jombaaNakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe. .siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nkapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh 450,000/= hyo hela sikuwa nayo muda huo ila nikamuahidi ntampa baada ya siku mbili kesho yake nkarudi home mafinga (iringa) nkaenda nkacheki shamba la miti ambayo ipo tayari nikauza....
nliporud dsm nkampa 550000 extra ya kiasi alichoomba...alikaa kama wiki hvi bila kuntafuta nkimtumia txt hajibu na simu hapokei nkajisemea moyoni "haina shida " baada ya wiki kupita nkaambiwa mwanamke alimpeleka jamaa mwingine Zanzibar na show nzima kagharimia mwanamke[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Haikuwa tabu kumsamehe nkijisemea pesa sio kitu ila nashukuru yeye ni mzima
Siku nyingine akaomba nimsaidie tsh 300,000/= skuwa na swali nilimpa tu hakuntafuta kama siku tatu hivi wakati sio kawaida yake. ..mwisho nkaona uvumilivu utanshinda nkaomba poo maaana nshagharimia saana pengeni ningeweza hata kujaza maduka ya kutosha afu haridhiki
Hivi wanawake wa aina hii kwa hapa dsm wataisha kweli maana ni shiiida kwa usawa huu mtafanya watu turudi kijijini Maana tutafirisika[emoji23][emoji23][emoji23]
ULIMPENDA MPAKA UKAWA FALA, SIJUI UMESHAJITAMBUA?Nakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe. .siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nkapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh 450,000/= hyo hela sikuwa nayo muda huo ila nikamuahidi ntampa baada ya siku mbili kesho yake nkarudi home mafinga (iringa) nkaenda nkacheki shamba la miti ambayo ipo tayari nikauza....
nliporud dsm nkampa 550000 extra ya kiasi alichoomba...alikaa kama wiki hvi bila kuntafuta nkimtumia txt hajibu na simu hapokei nkajisemea moyoni "haina shida " baada ya wiki kupita nkaambiwa mwanamke alimpeleka jamaa mwingine Zanzibar na show nzima kagharimia mwanamke[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Haikuwa tabu kumsamehe nkijisemea pesa sio kitu ila nashukuru yeye ni mzima
Siku nyingine akaomba nimsaidie tsh 300,000/= skuwa na swali nilimpa tu hakuntafuta kama siku tatu hivi wakati sio kawaida yake. ..mwisho nkaona uvumilivu utanshinda nkaomba poo maaana nshagharimia saana pengeni ningeweza hata kujaza maduka ya kutosha afu haridhiki
Hivi wanawake wa aina hii kwa hapa dsm wataisha kweli maana ni shiiida kwa usawa huu mtafanya watu turudi kijijini Maana tutafirisika[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo kweli man.... iko wazi kabisa... baada ya mawasiliano kwa muda fulan... anakupiga kibompole bro wanawake wa namna hiyo wapo wengi,
yaani kama huku kwenye mitandao ukijifanya kumshobokea mwanamke utashangaa cha kwanza anakupiga mzinga.
Tena BWEGE, yaani BWEGE, kabisa BWEGE, tena yaani kabisa BWEGE!Wewe ni BWEGE.
[emoji23] [emoji23]Tena bwege mtozeni
UMEMALIZA KILA KITUHawawez kuisha kama wanaume wa aina yako wataendelea kuwepo