issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
wana JF kiukweli nilimaliza miaka kadhaa my first degree katika hicho chuo but what i learnt over ebhana maTA wa pale wanapiga kazi, while i was there niliopt GE na ENG but kuna TA mmoja duh alikuwa anaitwa SIR BEN alikuwa head of department yaGE na madam mmoja alikuwa anaitwa REHEMA MDOGO by that time hawa jamaa walikuwa wanapiga kazi na sio tu kupiga kazi pia walikuwa wanavitisho ile mbaya sometime unaweza sema naenda kuker hii koz lakin unajikuta unaperform vizur.hawa jamaa watu hata ukikutana nao nje na maeneo ya chuo kiukwel walikuwa wanaogopesha japokuwa walikuwa wadogo kiumri.sir ben alikuwa akiingia darasan akiona siku hiyo mpo wachache au akiona hamumuelewi basi utasikia YAP AM GOING TO GIVE YOU A QUIZ AND IT WILL 5 MARKS.Rehema Mdogo sasa ndo acha yeye alichokuwa anakifanya kile anachofundisha ndio kile kile anataka ukijibu kwenye mtihan wake yaani usabidili hata nukta.dah ila sitomsahau pia TA mmoja ninavyosikia amehamia NAIROBI UNIVERSITY,KENYA alikuwa anaitwa clara huyu nae alikuwa noma sana
Chuo kikuu mkuu wa idara ni TA?Hiyo kweli hauwezi sahau hayo mengne ya kawaida vyuo vyote.
Tutorial Assistant = TA kwani hawa wanafundisha? nijuavyo mimi hawa kazi yao ni kumbebea Prof au Dk makabrasha kupeleka Lecture room na kwingineko
Hicho ndiyo chuo kikuu sasa cha St. Johns, Dodoma!Chuo kikuu mkuu wa idara ni TA?Hiyo kweli hauwezi sahau hayo mengne ya kawaida vyuo vyote.
Tutorial Assistant = TA kwani hawa wanafundisha? nijuavyo mimi hawa kazi yao ni kumbebea Prof au Dk makabrasha kupeleka Lecture room na kwingineko
Icho sio chuo yaani TA anapewa hadi ukuu wa idara, nakumbuka chuo nilichosoma mimi TA walikuwa nikwaajili ya kusimamia semina, hawakuruhusiwa kufundisha mpaka wawe na MA(Assistant lect). Du icho sio chuo ni Grolified High school.
Mmmmh na wewe!!!!! MA ndo Assistant lecturer??? Umesoma chuo gani?
dah ila sitomsahau pia TA mmoja ninavyosikia amehamia NAIROBI UNIVERSITY,KENYA alikuwa anaitwa clara huyu nae alikuwa noma sana
mbona hamjashangaa TA kuhamia kENYA UNIVERSITY