Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
View attachment 698086View attachment 698087 usiku mwema .nakula Nipige pushap mbili nilale
Mbona hii kama nyama ya punda? 😱😱 Jamani punda wetu huko Dodoma wanaputika kwa kasi ya mwanga. Watch out.
Karibu sanatukaribishane basi,ata nikila Mimi utanenepa tu
Naomba nyama moja jamani
tukaribishane basi,ata nikila Mimi utanenepa tu
Hhahhha hiii nyama ya ng,ombe imekaushwaa kwa ustadi wa hali ya juuuDem nini hizo? Nyama pori?
Ahahaa wewe nani tenaUkikonda utachukiza halafu sitokupa zawadi. Endelea kunenepa.
Halafu pushapu unaweza kupiga kweli wewe?
Nyama pori hiyo tamu balaaaDem nini hizo? Nyama pori?
Napiga mbili kitandaniWw pushap unapiga au unapigiwa?
Ukija nitakupikia usjali tamu ina vitaminMbona hii kama nyama ya punda? 😱😱 Jamani punda wetu huko Dodoma wanaputika kwa kasi ya mwanga. Watch out.
Nyama ya punda unakulaNaomba nyama moja jamani
Na mwenzio anakuangalia tuuNapiga mbili kitandani
awww!eat eat!